Pamoja mkuu nitajaribu kumuanzishia figisu figisu huyu beki 3 Ili atimuliwe tu.
Huwezi kujua aliyeanza nani... Ila huyo binti kiboko anaifahamu ya baba na ya mtoto... Huu ni uuaji wa wazi kabisa
Duh....anahusikaje hapa huyu mama wa mtoa postFamilia yenu wote ni washenzi.. usikute hata bi mkubwa nae anatabia kama zenu...
Siyo beki 3 tena ni mama mdogoMchane beki 3
Sisemi kwamba house girls hawana haki ya kupenda au kupendwa. Ila ukweli mchungu ni kwamba wadada wa kazi wengi wanajikuta kwenye mahusiano na watoto wa kiume na mababa wenye nyumba sio kwa kupenda, wengi hawapendi ila wanajikuta tu wanakubali ili kulinda "vibarua vyao". Mdada hajiwezi, na anawaza je nikikataa nikafukuzwa, ntafanyaje na haya maisha.Ila house girl ndo kabisa hajielewi. Kwa sababu anajua anatembea na wote wawili lakini anakubali
Mfanyie zengwe beki tatu atimuliwe...
Mnaweza weka houseboy..kama na huyo msure wako akimMendea basi kunatatizo hapo
ndiyo maana ukishafikisha miaka 18 hupaswi kabisa kukaa nyumbani kwenu, hata kama pako poa kiasi gani unapaswa uondoke uende kupanga tofauti na nyumbani,
hivyo ndivyo tunavyofanya watoto wa kiume,
ukishakua unasepa, siyo mnabanana home masaa yote.
we unadhani ungekua umepanga haya yangetokea????????????????
Umeona sasa, jambo moja mwambie Mother au Mdingi akupe Punga ufanye Business akikupa unakwenda kupanga, halafu unaanza Moja.
Mtoto wa kiume sifa kubwa ni kutokuwa Muogopa kwa lolote lile.
Ondoka nyumbani hapo, ukiendelea utaleta balaa,
we subiri house girl apate mimba ndiyo utajua nasema nini.
Mweleze baba yako kuwa anachokifanya sio kizuri na akiendelea mtishie kumwambia mama yako
MWACHIE DINGI APIGE MPAKA MAZA AJE NDO UWENDELEZE ama nn!
Kwani wewe pamoja elimu yako ya chuo unadhani wewe ndio mwenye haki ya kufanya mapenzi na beki3 enu eeeeh. Tamaa zenyu hizi zitakuja kuwaua bule. Kumbuka ni laana kula sahani moja na dingi ako. Kwa kuwa sasa umejua basi wewe jitoe kimyakimya kisha mbio kacheki ngwengwe mapema kama ulienda mwinyi mpeku ili ujue status za HIV.