Kumbe joshua Nassari....

kwa jinsi ninamvomjua Lowassa si ajabu
keshafanya mpango Nassari amuoe binti yake Pamela...
Ili jimbo lilrudi kwenye familia...Siyoi anaweza kupewa kibuti faster..lol

Pamela ni mke wa Sioi Jeremia Sumari, iweje Nassari amwoe tena?
 
hahaha lakin ANA MAKINDA ajiandae kwa challange nyingine lolz.............. kijana anaonekana pasua kichwa kama LEMA full kuomba muongozo!
wataisoma this time...
 
By The Boss
kwa jinsi ninamvomjua Lowassa si ajabu
keshafanya mpango Nassari amuoe binti yake Pamela
...
Ili jimbo lilrudi kwenye familia...Siyoi anaweza kupewa kibuti faster..lol


Pamela ni mke wa Sioi Jeremia Sumari, iweje Nassari amwoe tena?



Hujamwelewa alichosema The Boss??!

Kuwa EL ana-qualify kuwa Politician ambae ni Greedy - who can do anything ili awe katika Power! - hata kwa mambo ambayo huwezi kufikiria ... yaani hata kama itabidi kuvunja ndoa ya mtoto ili aolewe tena na mtu mwingine alie kwenye power!

Viongozi wengi wa CCM wamegeuka kuwa Politicians na wala siyo viongozi wa Umma!

Anyway some characteristics za Politicians ni kama hizi hapa chini


politician.jpg




.​
 
KIJANA WETU!!! HONGERA SANA .. CCM TARATIBU INAPOTEA KWENYE RAMANI MASHAKA YANGU TAHADHARI KULE MJENGONI KUNA MAJI MAREFU ANA BIFU NA WEWE...!! ...

JESTINA!! KILA LA KHERI...:rockon:
 
kwani ana miaka mingapi?lol

Kijana wetu ana umri wa mik 26 tu. Hivyo akipata mchumb wa umri pungufu kidogo ya miaka 26 si mbaya, na kama mkwe wetu mtarjiwa Jestina uko katika rika hilo kribu kwenye ukoo, ila usubiri akutafute ili mambo yawe muafaka, usimsalndie wewe!! Vile vile ndani ya chma tunamshauri ajipange vizuri kwanza asije danganywa na mashakupe ya mjini, mengine yanweza kuwa ymepndikizwa n wabay wetu ili kijana asiweze kurudi bungeni mwaka 2015.

"It is better to die for an idea that will live, than live for an idea that will die" - Steve Bantu Biko.

 
NO....ni katika kutambua uwepo wa mahendsam bungeni.....
nani wa CCM hendsam.....
(zingatia jukwaa tafadhali)


kuna haendsam kama WASSIRA ...... yaani watu wanagombania kupiga naye picha ya ukumbusho ..anafuatiwa na mzee wangu wa kilimo bora PETER KAYANZA MIZENGO PINDA
 
your so foolish!!! akili yako yaajabu sana dada yangu hata kama ulikuwa unatania but inaonekana tayari unaakili za kitoto sana wewe.
acha kula Vyembe.. Kosa lake nini sasa.. eee .. mbona unahukumu kwa uharaka hivyo.. Yote maisha ni akili za mgando kudhani kwamba wanaume peke yao ndio wenye mamlaka ya kutongoza,, wote wana haki sawa.. by the way wanawake wengi sasa ndio wanaoa we vipi!!
 
Kina manka,kekuu pande zile za moshi watamwacha huyu kijana ale mwenyewe kweli yetu macho kama atamaliza na mungu kweli
 
Back
Top Bottom