Kumbe joshua Nassari....

Sister mbona ilijulikna siku nyingi kwenye kampeni kuwa Nassari ni Single , kwanini hukuchnagmka wakati ule? au ndo unataka kuolewa na ubunge sio nassari?
 
I dont ask for anything.
If you want to give me anything, it will be under your own free will.

They never lower the standards for all the reasons known on earth. Au wewe unaendesha mambo kwa utaratibu huo??
 
attachment.php


cheki sura zenye mvuto......check mabody yao...no kitambi no safura.......

Preta hapa ndo tulikuwa tunacheza sebene la ushindi??:biggrin:
 
Samahani mkuu hivi kwa mwanamke msomi kama Halima Mdee hajui maana ya Engagement!!??.........sidhani kama mtu yeyote aliyeelimika kama anaweza akawa Engaged kwa zaidi ya miezi 6 bila ndoa......something is wrong here.
Kuhusu ubaunsa wake mimi haunitishi lolote, maana kila umuonapo Matola basi ujuwe ana Berreta made in Czech kiunoni.
Mkuu umechemka mbaya
 
Back
Top Bottom