Kumbe joshua Nassari....

kwa jinsi ninamvomjua Lowassa si ajabu
keshafanya mpango Nassari amuoe binti yake Pamela...
Ili jimbo lilrudi kwenye familia...Siyoi anaweza kupewa kibuti faster..lol

Gold kwa gold siyo!! na siyo gold kwa makaa ya mawe..!
 
Ukikatizama tu usoni hako sidhani kama kana ngoma zaidi ya kidali PO.

Haya bibie, kupanga ni kuchagua kidali Po au VX.

Ndo mwanzo wa kumtafuta shamba boy au dereva wa familia.

kwani ana miaka mingapi?lol
 
attachment.php


cheki sura zenye mvuto......check mabody yao...no kitambi no safura.......
duh huyu mchuchu hapo pembeni ya mdee ni nani?
 
duh huyu mchuchu hapo pembeni ya mdee ni nani?

Njaa! ... Hizi njaa hizi! ... zitauwa wengi jamani! ... wewe badala utoe mchango wako kwenye mada .. wewe unaanza kuwaza mchuchu ... duh huyu mchuchu hapo pembeni sijui nini ... njaa ... njaa hizi!....

.
 
your so foolish!!! akili yako yaajabu sana dada yangu hata kama ulikuwa unatania but inaonekana tayari unaakili za kitoto sana wewe.

duh, what a reaction! au kuna conflict of interest?
 
Back
Top Bottom