ndisinzowa
Member
- Aug 18, 2010
- 86
- 14
tatizo la watanzania wali kwa wengi ni wanafiki na wengine wanachukia m2 kwa kuiga.bt wengi ni wanafiki 2
Du! Humu JF kuna VILAZA haki ya nani!!! Sasa mleta mada ni kilaza wa kufa mtu. Ila kwa kifupi JK angeenda msibani Nyamono au Arusha amabapo Polisi wameua kwa amri ya serikali yake ndo ungejua mtu wa watu au MAZUZU!!!
Hawa ni watu anaokula nao naye kaseama kuwa alikula nao pia anafanana nao kwni ni msanii.
Namuomba aende UDSM amsindikize Mseven!!!
Ondo a hoja dhaifu hapa.
Kichomiz, unafikiri kuwa kichaa ni mpaka mtu aokote makopo!, tuna vichaa wengi ajabu humu jf!. Utawajua kwa contents na reasoning capacity zao!.Mijitu mingine bwana!!!! kwa hiyo we unaona hilo ni jambo la maana sana?kweli wehu ni wengi sana nchi hii,aya bana mshangilieni rais wa misiba na sherehe.
jk ni mtu asiefuatilia mambo ua kimsingi.....sawa msibani lakini jk yale mambo ya msingi tumeona madkatari waligoma hakutaka kukutana nao.....mambo mengi tu huwa hatokei...lakini sehemu za kuuzia sura hakosekani......Kwa position yake kama rais wa jamhuri wa Tanzania yeye ni selebrite ambaye anapatikana kwa nadra sana. Kwa hiyo hataka kama hukubaliani na sera zake, unaweza kutaka kukutana kupiga picha na hata kushikana mikono na selebrite huyo. Huenda hata mimi ningekuwapo msibani hapo ningependa kutumia nafasi hiyo kushikana naye mikono na hata kupiga picha naye ingawa najua kuwa ni rais bomu.
Kwa upande mwingine sidhani kama kitendo chake cha kwenda pale kilikuwa cha busara sana kutokana na position yake. Kuna watanzania raia wengi wanaokufa kila siku na huwa hahudhurii misba yao, kwa hiyo kuhudhuria misiba ya raia selectively kutokana na umaarufu wao nadhani ni upungufu wa maono. It is possible alikuwa anahitaji sifa kutokana na coverage ya msiba huo, lakini ni sifa ambayo siyo nzuri
unaboa sana wewe kudadadadadekiNeno "Kumbe JK bado Mtu wa Watu!, na alama ya kushangaa inamaanisha kuwa JK alikuwa mtu wa watu halafu akaacha kuwa mtu wa watu, sasa leo wewe ndio unashangaa kuwa kumbe bado ni mtu wa watu!.
Eti kuna wakati ulianza kuamini JK sii kipenzi cha watu ila leo ndio umeamini kuwa ndie mwanasiasa pendwa kuliko wote kwa wapiga kura!. Kama alianzia over 82 % ile 2005 kutokana na kupendwa zaidi akapata 64% 2010, nashauri kwa jinsi tunavyompenda, tuondoe kile kipengele cha two terms kwenye katiba mpya 2015 tumpe kipindi cha tatu!.
Kiukweli jf tuna members wa kila aina, miongoni mwao ni hawa wa "kujikomba komba type"!. Siku zote JK amekuwa mtu wa watu mwanzo mwisho na hakuna kipindi au wakati wowote amewahi kuwa sio mtu wa watu!. Sasa hii kumbe yako ya leo inatokea wapi zaidi ya kujikomba komba tuu!.
Uzoefu unainyesha wanaopenda kujikomba komba ndio wenyewe kwa kujikanyaga kanyaga mara " watu wengi humu wanamuongelea vibaya" mara "ni kikundi cha watu wachache wanapotosha wengine kwa malengo maalum", which is which ili mradi full kujikomba tuu!.
Ila sio siri kujikomba komba kwa CCM kunalipa!. Tukipata wana jf wengine 10 tuu kama wewe, mbona jf itapendeza sana!.
Keep it up!.
Neno "Kumbe JK bado Mtu wa Watu!, na alama ya kushangaa inamaanisha kuwa JK alikuwa mtu wa watu halafu akaacha kuwa mtu wa watu, sasa leo wewe ndio unashangaa kuwa kumbe bado ni mtu wa watu!.
Eti kuna wakati ulianza kuamini JK sii kipenzi cha watu ila leo ndio umeamini kuwa ndie mwanasiasa pendwa kuliko wote kwa wapiga kura!. Kama alianzia over 82 % ile 2005 kutokana na kupendwa zaidi akapata 64% 2010, nashauri kwa jinsi tunavyompenda, tuondoe kile kipengele cha two terms kwenye katiba mpya 2015 tumpe kipindi cha tatu!.
Kiukweli jf tuna members wa kila aina, miongoni mwao ni hawa wa "kujikomba komba type"!. Siku zote JK amekuwa mtu wa watu mwanzo mwisho na hakuna kipindi au wakati wowote amewahi kuwa sio mtu wa watu!. Sasa hii kumbe yako ya leo inatokea wapi zaidi ya kujikomba komba tuu!.
Uzoefu unainyesha wanaopenda kujikomba komba ndio wenyewe kwa kujikanyaga kanyaga mara " watu wengi humu wanamuongelea vibaya" mara "ni kikundi cha watu wachache wanapotosha wengine kwa malengo maalum", which is which ili mradi full kujikomba tuu!.
Ila sio siri kujikomba komba kwa CCM kunalipa!. Tukipata wana jf wengine 10 tuu kama wewe, mbona jf itapendeza sana!.
Keep it up!.
Kutokana na ambayo nimekua nikiyasoma humu kuna wakati nilianza kuhisi labda JK Si kipenzi cha watanzania wengi tena,hii ni kutokana na watu walio wengi humu kumuongelea vibaya,leo nimejiridhisha kwamba kumbe na kakikundi ka watu wachache tu ndiko kanakopotosha watu humu kwa sababu maalum,lakini huko "site" jk anaonekana kuwa mwanasiasa pendwa pengine kuliko yeyote yule na wapiga kura.........!
Kumbe jk bado mtu wa watu hili utaweza tu kuliona kama wewe ni katika wale wanaoamini wanachokiona na si kuona kile tu wanachokiamini wao!
Nawasilisha kimtindo!
Kwenye lile jukwaa la celebrities, chit chat, JK ni maarufu sana ila jukwaa la siasa ndo balaa. he doesn't fit.
JK ni RAISI WA SHEREHE NA MISIBA na huko ana umaarufu wa kupindukia
Cheap popularity, mambo nyeti ya mstakabali wa taifa haonekani lakini mambo ya kipuuzi kama kuhani msiba ya mwana maigizo mbakaji wa under 18 anakwenda