Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Jumanne anaibukia Malawiii...
Wala kuwa kipenzi cha watu haiko hivyo unavyotaka kulazimisha iwe,ingekua hivyo basi mpaka leo Ghaddafi angekua kiongozi wa Libya!JK si kipenzi cha watu bali hutumia matukio madogo madogo kupata sifa asizostahiki. Kuhudhuria misiba si jukumu la rais. Heri angeshughulishwa na yale yanayowakwaza watanzania hata kuwaua kama umaskini wengi tungemuelewa. Sijawahi kuona rais aliyefanikiwa kuendeleza watu wake kwa kuhudhuria misiba au kufanya ziara nje. Hivyo, huna sababu ya kujihadaa kusema kuwa JK ni kipenzi cha watu. Angekuwa kipenzi cha watu angefanya kama Ian Khama wa Botswana ambaye huenda mitaani peke yake na kurejea nyumbani. Kama ni kipenzi cha watu mbona amejizungushia walinzi? Kama kuna watu anawapenda si wengine bali mafisadi na mastaa uchwara wa Bongo. Kwa uzito wa rais, hakuwa na sababu ya kupoteza muda wa umma kwenda kwenye msiba wa Kanumba. Waziri wa vijana utamaduni na michezo alitosha. Kama hakutosha basi mwanae alitosha.
JK si kipenzi cha watu bali hutumia matukio madogo madogo kupata sifa asizostahiki. Kuhudhuria misiba si jukumu la rais. Heri angeshughulishwa na yale yanayowakwaza watanzania hata kuwaua kama umaskini wengi tungemuelewa. Sijawahi kuona rais aliyefanikiwa kuendeleza watu wake kwa kuhudhuria misiba au kufanya ziara nje. Hivyo, huna sababu ya kujihadaa kusema kuwa JK ni kipenzi cha watu. Angekuwa kipenzi cha watu angefanya kama Ian Khama wa Botswana ambaye huenda mitaani peke yake na kurejea nyumbani. Kama ni kipenzi cha watu mbona amejizungushia walinzi? Kama kuna watu anawapenda si wengine bali mafisadi na mastaa uchwara wa Bongo. Kwa uzito wa rais, hakuwa na sababu ya kupoteza muda wa umma kwenda kwenye msiba wa Kanumba. Waziri wa vijana utamaduni na michezo alitosha. Kama hakutosha basi mwanae alitosha.
Aibu tupu, msibani meno yote nje manake nn??
sio kidogo. Kwenye msiba unaenda ku stage a photo op ya kupeana high five. Msiba hauna mwenyewe huu, watu wamecheki wakasikia sijui babaake ana bifu na marehemu, mama wakambo kamtesa, na Mama Mzazi yuko ndani ndani Bukoba huko hajiwezi wakaona ok hapa ndio pa kupigia picha za kisiasa. Nimemwona mtu mmoja anajiita Mkuu wa chama cha wasanii Tanzania anafanya interview kwenye msiba (a new trend if you ask me, so tacky) akadai kama Mama ya Marehemu akikubali mapendekezo yao basi wangependa wamzike Dar-es-Salaam, Jummanne. Mtu akikwambia anaomba umzike marehemu Dar mana yake anataka umrahisishie kazi, hana muda wa kuja huko Bukoba huko kuzika. Mama Mtu kwao Bukoba, huyo Mkuu wa Wasanii atakua anakwenda hapo makaburini Dar kupalilia kaburi au atakuwa anamtumia tiketi Mama Kanumba kuja kuona kaburi la mwanae?Jk chizi.
sio kidogo. Kwenye msiba unaenda ku stage a photo op ya kupeana high five. Msiba hauna mwenyewe huu, watu wamecheki wakasikia sijui babaake ana bifu na marehemu, mama wakambo kamtesa, na Mama Mzazi yuko ndani ndani Bukoba huko hajiwezi wakaona ok hapa ndio pa kupigia picha za kisiasa. Nimemwona mtu mmoja anajiita Mkuu wa chama cha wasanii Tanzania anafanya interview kwenye msiba (a new trend if you ask me, so tacky) akadai kama Mama ya Marehemu akikubali mapendekezo yao basi wangependa wamzike Dar-es-Salaam, Jummanne. Mtu akikwambia anaomba umzike marehemu Dar mana yake anataka umrahisishie kazi, hana muda wa kuja huko Bukoba huko kuzika. Mama Mtu kwao Bukoba, huyo Mkuu wa Wasanii atakua anakwenda hapo makaburini Dar kupalilia kaburi au atakuwa anamtumia tiketi Mama Kanumba kuja kuona kaburi la mwanae?
Watanzania kweli wamejaa ugali vichwani, msibani mnakwenda kushangilia li raisi limekuja ku hijack msiba usio na mwenyewe.
kwa hiyo ulitaka ahamishie ofisi ya rais na ikulu nzima TANESCO na awe anashinda kwenye mitambo ya umeme au
jamani dk cheni hazeeki.kila siku yupo hivyo hivyo
Wee Kiranga, something dark ya nini?!, unataka asing'are?JK, don't you have something dark in your wardrobe?
Wee Kiranga, something dark ya nini?!, unataka asing'are?
Inaonekana rais anatungua tu viwalo, hata kuvaa kwa occassion hajui.
sio kidogo. Kwenye msiba unaenda ku stage a photo op ya kupeana high five. Msiba hauna mwenyewe huu, watu wamecheki wakasikia sijui babaake ana bifu na marehemu, mama wakambo kamtesa, na Mama Mzazi yuko ndani ndani Bukoba huko hajiwezi wakaona ok hapa ndio pa kupigia picha za kisiasa. Nimemwona mtu mmoja anajiita Mkuu wa chama cha wasanii Tanzania anafanya interview kwenye msiba (a new trend if you ask me, so tacky) akadai kama Mama ya Marehemu akikubali mapendekezo yao basi wangependa wamzike Dar-es-Salaam, Jummanne. Mtu akikwambia anaomba umzike marehemu Dar mana yake anataka umrahisishie kazi, hana muda wa kuja huko Bukoba huko kuzika. Mama Mtu kwao Bukoba, huyo Mkuu wa Wasanii atakua anakwenda hapo makaburini Dar kupalilia kaburi au atakuwa anamtumia tiketi Mama Kanumba kuja kuona kaburi la mwanae?
Watanzania kweli wamejaa ugali vichwani, msibani mnakwenda kushangilia li raisi limekuja ku hijack msiba usio na mwenyewe.
Tatizo hili pia analo slaa,tena lakr ni kubwa zaidi,sijui hawanaga washauri?
sababu haendekezi maunene, mana angenenepa asingekuwa hivyo, big up cheni!! ustaa sio maunenejamani dk cheni hazeeki.kila siku yupo hivyo hivyo