Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
unamwambia nani? UtajijuAloo mimi nimesoma kiasi tu,nikianzia kisosora tanga(RC) nikapitia Jumuia pale mkabala na standya mabasi nikaelekea duga shule ya tapa palikuwa na mbuyu barabarani(umeanguka) kutoka hapo nikasoma Murutunguru kule Nansio Ukerewe ,nikamalizia chuo cha ufundi civil eng somewhere undislosed location.Sina taarifa za ukoo nimezaliwa peke yangu wazazi wangu wawili walifariki katika ajali ya basi sekenke.