Kumbe CDM hamna Wasomi

Aloo mimi nimesoma kiasi tu,nikianzia kisosora tanga(RC) nikapitia Jumuia pale mkabala na standya mabasi nikaelekea duga shule ya tapa palikuwa na mbuyu barabarani(umeanguka) kutoka hapo nikasoma Murutunguru kule Nansio Ukerewe ,nikamalizia chuo cha ufundi civil eng somewhere undislosed location.Sina taarifa za ukoo nimezaliwa peke yangu wazazi wangu wawili walifariki katika ajali ya basi sekenke.
unamwambia nani? Utajiju
 
inasaidia nini kilo ya sukari sh 3000 kwa wasomi wako wezi wa ccm

Hivi matumaini yako CDM itaweza kushusha bei ya vyakula ? iwe sukari 1kg sh 500/ ,1kgsembe 250/,1kgwali 600/ ,watu wanaelekea kwenye soko huria .

Hapo ndipo mnapopotezwa na ahadi hewa ,kwani hamuelewi mpo katika mazingira ya aina gani ,nahitajia hio safu ambayo itaweza kumuwekea Mtz maisha nafuu ,watu wanasema maisha ya leo afadhali ya jana. sasa hayo ya kesho ya CDM sijui itakuwaje kama 1kg sukari 6000/ au zaidi.
 
Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.

Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !

Unataka kusema hatuendelei kwa sababu CCM haina wasomi?
 
Kuna topic inajadiliwa humu ya kuwa chdema haina wasomi wa kuunda serikali ikiwa itapewa ridhaa ya kuongoza nchi.swali langu rahisi ni kwamba hawa wanaojiita wasomi wa ccm wameisaidia vp nchi hii?je kuna haja ya kuwa na wasomi ktk siasa?
1.dr Kikwete 2.E.Lowasa
3.A.chenge 4.M.Nchemba 5.D.Balali
6.B.Mramba
7.D.Yona
8.O.Nundu
9.E.Maige et al
 
Nyie mlokuwa na wasomi mmefanya nini? Radar-chenge,richmund-jk, uda-ridhiwani jk ,ticts-jk + karamage,tanapa-jk na washirika wake (twiga kwa suti) nk , je ni upi hana elimu?hata walodai uhuru walikuwa na kiwango gani cha elimu ukimwondoa Julius?jkama hoja ni elimu,mikataba yote mibovu ni upi aliyesaini?akili za nyegere mbaya sana hasa kwenye wivu ,kwani hata jani likimgusa mke wake linaliwa kisa kugusa matamanio yake. Acheni nyimbo zenu za kitoto , hakuna wa kuizuia CHADEMA mnajikondesha bure kwani moto wake hauzimiki..
 
Acha ushabiki soma alichoandika kabla yako huyo mwiba-fisadi.Huku elimu huku haina viongozi,lipi ni lipi?
Utajiju.
Hivi elimu ni kila kitu eee?
Elimu yenyewe ya bongo ya kuklemisha....
Khaaaaa.......
Niamini sijaona wasomi wetu wamefanya nini jema kwa nchi yetu. Hatuna mfano kuwa huyu ndie msomi wetu katufanyia hiki.
 
Kuna topic inajadiliwa humu ya kuwa chdema haina wasomi wa kuunda serikali ikiwa itapewa ridhaa ya kuongoza nchi.swali langu rahisi ni kwamba hawa wanaojiita wasomi wa ccm wameisaidia vp nchi hii?je kuna haja ya kuwa na wasomi ktk siasa?
1.dr Kikwete 2.E.Lowasa
3.A.chenge 4.M.Nchemba 5.D.Balali
6.B.Mramba
7.D.Yona
8.O.Nundu
9.E.Maige et al
huyu (kwenye RED) si msomi ni Muuaji, Mzinzi na ni type ya watu watakaoipeleka Tanzania kwenye machafuko ikifikapo mnamo 2012. Wekeni maneno yangu watu wa type ya Mwinchemba ni wengi sana kwenye hii nchi.

Pia ongeza msomi mwingine kutoka Chama cha Mabwepande Eng. Stela Manyanya - MB then Mkuu wa Mkoa Rukwa
 
Usomi unaosema siuelewi ni upi. Kusomea Ubunge, uwaziri, ukuu wa mkoa/wilaya au Urais. Au ni usomi ktk fani fulani ya udaktari, uhasibu, injinia, mawasiliano au Uganga wa kienyeji? Uongozi unataka elimu ipi tuwekee vizuri boss
 
Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.

Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !
Naamini wakichukua nchi ndo utajua walivyo na wasomi wengi ambao kwa sasa wanaoperati chini ya kapeti. Wapeni nchi muone. Yangu macho.
 
Kuna topic inajadiliwa humu ya kuwa chdema haina wasomi wa kuunda serikali ikiwa itapewa ridhaa ya kuongoza nchi.swali langu rahisi ni kwamba hawa wanaojiita wasomi wa ccm wameisaidia vp nchi hii?je kuna haja ya kuwa na wasomi ktk siasa?
1.dr Kikwete 2.E.Lowasa
3.A.chenge 4.M.Nchemba 5.D.Balali
6.B.Mramba
7.D.Yona
8.O.Nundu
9.E.Maige et al
huyu (kwenye RED) si msomi ni Muuaji, Mzinzi na ni type ya watu watakaoipeleka Tanzania kwenye machafuko ikifikapo mnamo 2015. Wekeni maneno yangu watu wa type ya Mwinchemba ni wengi sana kwenye hii nchi.

Pia ongeza msomi mwingine kutoka Chama cha Mabwepande Eng. Stela Manyanya - MB then Mkuu wa Mkoa Rukwa
 
Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.

Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !

Uko nchi gani wewe?wasomi wote maofisini,kwenye mashirika na taasisi za serikali na zisizo za kiserikali wako CDM.hakuna mtu mwenye akili timamu sasa hivi anaweza kuipenda SISIEM.Jaribu kufanya simple analysis kabla ya kutoa post.Ni wachache sana mliobaki huko.Unahitaji akili ya ukichaa kuitetea SISIEM mbele ya watu wenye akili zao na wanaojitambua.
 
Hakuna cha kuogopa. Msukumo wetu kwa sasa si nani atakayeshika nafasi gani. Msukumo wetu ni vipi tunaweza kuikomboa Tanzania kutoka hili limbwi la ufisadi, uuzaji kiholela wa maliasili zetu na kuwarejeshea Watanzania matumaini katika nchi yao wenyewe. Hapo ndipo tunapoelekeza nguvu zetu.

Mbona hamtangazi kama mali zilizoibiwa pamoja na wezi wenyewe mtawafanya nini? au na nyie mnataka kuja kuiba kwa zamu?...mageuzi na mapinduzi haya ya kisiasa kabisa hapa Tanganyika yanabidi yaje na kusafisha mfumo na wanamfumo waliopita (rudisha hela toka nje, taifisha mali zisizo halali hapa ndani, rudisha zile nyumba za serikali, funga hawa wezi) So far Zitto, SLaa, Mbowe et el wamekua kimya, kimya kikionyesha hawana moyo wa mageuzi ya kweli bali wanataka zamu yao ya kula...hata ****** aliingia na kesi zake za watumiaji wabaya wa ofisi za umma (ili kuondokana na upumbavu wa mr Clean)
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom