Meritta
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 1,303
- 293
- Thread starter
- #21
na hilo la ndoa ndo linalomuwazisha ile mbayahapa hamunishida kabisa....sasa huyu jamaa mwingine alikuwa anayafanya hayo kwa mapenzi yake. hakulazimishwa. hivyo basi lazima akuali kuwa investment inaweza lipa hao hapana sasa kwa bahati mbaya imekula kwake.
ni bora huyu dada amwambie jamaa ukweli maana kama ataingia kwenye ndo na huyo jamaa ktachotokea ni kwamba demu atendelea kucheat na jamaa na mwishio itakua sio ndoa tena.
ni ngumu lakini inabidi afanye huo uamuzi!!!