Kulipa fadhila kunamkondesha

Kapelekwa chuo, kaonana na huyo boifrend mpya, kaona wazamani hamfai, je huyo boifrend mpya akimpeleka masters? Si na huko atapata boifrend mpya na aseme kamfia, hasikii wala haambiwi?
Na ataendelea ivo mpaka lini?
Wakati mwengine kwenye kupenda tushirikishe akili na hisia. Sio kutumia hisia zaidi.
hilo neno pia
 
hao wa hivyo wapo wengi achana naye na usifikilie ulichokitoa ona kama umepata ajali na upo hospitali utapona na utajipanga upya cha msingi omba uzima tu naye muombee maisha marefu na mungu huwa hamtupi mja wake kwani mungu huwaumbua wanafiki kama hao pole brooo
 
Hili jambo lipo sana...japo katika sura tofauti.
Kwamba mwanaume anaamua kumuendeleze mwenzi wake...ila mwanamke akishaendelea anaona kwamba yeye sio wa 'class' ya yule mwanamme....na hili linasababisha wanaume wengi kuwa na hofu ya kuwekeza katika maendeleo ya wanawake....


Umenena mkulu. Njia mbadala kuna wengine wanawekeza kwa mdada baada ya kufunga ndoa na kuwa tayari amempa ujauzito
 
Back
Top Bottom