Huelewi chochote unaongelea "International Color Consortium"
Mimi ninaongelea META usipotoshe. Hiyo 2012 inammanisha nini ndugu?
Hawa wafuasi wa chadema ni waongo sana ndiyo maana Dr Slaa amewaumbua sasa msubiri Mnyika nae awaumbue
Kwahiyo kama ni ya 2012 inakuhusu nini?
Nimepata META DATA za picha iliyowekwa kuelezea kuwa Myika alikuwa kwenye Secretariety inaonesha kuwa picha hiyo ni ya 2012. Kwahiyo bwana @RUCCI Tumuweke naye katika kundi la kutokuaminika. Hizi hapa ndizo tarifa za hiyo picha iliyo wekwa
Camera
Camera info not found.
Author and Copyright
Copyright not found.
Location
GPS coordinates not found.
EXIF
EXIF data not found.
XMP
XMP data not found.
Maker Notes
Maker Notes data not found.
ICC Profile
ProfileCMMType lcms ProfileVersion 2.1.0 ProfileClass Display Device Profile ColorSpaceData RGB ProfileConnectionSpace XYZ ProfileDateTime 2012:01:25 03:41:57 ProfileFileSignature acsp PrimaryPlatform Apple Computer Inc. CMMFlags Not Embedded, Independent DeviceManufacturer DeviceModel DeviceAttributes Reflective, Glossy, Positive, Color RenderingIntent Perceptual ConnectionSpaceIlluminant 0.9642 1 0.82491 ProfileCreator lcms ProfileID 0 ProfileDescription c2 ProfileCopyright FB MediaWhitePoint 0.9642 1 0.82491 MediaBlackPoint 0.01205 0.0125 0.01031 RedMatrixColumn 0.43607 0.22249 0.01392 GreenMatrixColumn 0.38515 0.71687 0.09708 BlueMatrixColumn 0.14307 0.06061 0.7141 RedTRC (Binary data 64 bytes) GreenTRC (Binary data 64 bytes) BlueTRC (Binary data 64 bytes)
Naomba tuache ubabaishaji
Kwann CDM wanajaribu kuaminisha watu kwa propaganda??
Kwani kudanganya kwamba mtu yuko kwenye kikao wakati hayupo huwa kuna faida gani???
Angalia date settings za kifaa ulichotumia retrieve meta data. Hii picha ni mbichi 2015.
Vitu vingine au siku nyingine utumie akili yako mwenyewe usiwe kama roboti.Nimesema kulingana na taarifa zilizo ndani ya hiyo picha inaonekana ni 2012. issue za ndani ya chama chenu siyajui kama alikuwa kiongozi au la. kwani kuteta na mbowe pale ndio maana ya kuwa kiongozi. Acheni uongo.
Angalia date settings za kifaa ulichotumia retrieve meta data. Hii picha ni mbichi 2015.
Ile picha inaonesha ni usiku halafu kikao tunaambiwa ni mchana.usanii wa kina yericko unatia kichefuchefu.
Hebu Drag na drop kwenye mtandao huu utajua hiyo picha ina taarifa gani
online metadata and exif viewer
Hawa wafuasi wa chadema ni waongo sana ndiyo maana Dr Slaa amewaumbua sasa msubiri Mnyika nae awaumbue
kwa hio kikao hakiwezi kuanza mchana kikaisha usiku.....
Nakuomba utupue picha ya pili inayo shabihiana na madhali hiyo kwa utetezi wako.Kwa hiyo tuamini hiyo tuamini hiyo drag and drop yako na tu-ignore ufahamu wote sote kwamba Salumu Mwalimu alikuwa kiongozi mwaka 2014 !
Ili metadata yako iwe sahihi, lazima uwe na uhakika kwamba tarehe ya Camera iliyotumika ilikuwa imesetiwa kwa usahihi, kitu ambacho huna uhakika unless wewe ndie uliyepiga hiyo picha na unaijua hiyo Camera. Mara nyingi kamera zinakuwaga na settings zisizo sahihi za dates !. Watu huwa hawaangalii usahihi wa tarehe kwenye camera kabla ya kuchukua picha.....Hivyo hiyo metadata yako inaweza isikusaidie sana when it comes to dates