Kulingana na meta info. Picha ya myika kuwepo kwenye mkutano ni uongo.

Ile picha inaonesha ni usiku halafu kikao tunaambiwa ni mchana.usanii wa kina yericko unatia kichefuchefu.
 
Nimesema kulingana na taarifa zilizo ndani ya hiyo picha inaonekana ni 2012. issue za ndani ya chama chenu siyajui kama alikuwa kiongozi au la. kwani kuteta na mbowe pale ndio maana ya kuwa kiongozi. Acheni uongo.

Una utaalam na technology? Ufahamu wako kwenye siasa ukoje? Maana ulichoandika hapo kinatia shaka yaan picha inaonyesha Salum mwalimu akiwa na mbowe high table bado unasisitiza kuwa waache uongo!
 
ICC profile na picha ni vitu viwili tofauti. Hiyo tarehe inaonyesha lini ICC profile ilikuwa created na SIYO lini picha ilipigwa.
 
Hapa tunaongelea technology dada. Ndani ya picha kuna taarifa zilizojificha ukipiga camera zinahifadhiwa. Mambo ya common sens ni ya kwako.

Wewe gamba, Chadema inakuhusu nini? Nyie si mlitwanga pilipili pale Dodoma! Basi endeleeni kukohoa.
 
Hapa tunaongelea technology dada. Ndani ya picha kuna taarifa zilizojificha ukipiga camera zinahifadhiwa. Mambo ya common sens ni ya kwako.
We kweli hamnazo....wakati mwingine uache kuingilia kazi za watu au kuongelea mambo usiyoyajua hauna tofauti na jamaa mmoja huku alianza kumponda Magufuli eti kwakuwa twitter yake imeandikwa Minister of Works!
 
ICC profile na picha ni vitu viwili tofauti. Hiyo tarehe inaonyesha lini ICC profile ilikuwa created na SIYO lini picha ilipigwa.
Huelewi chochote unaongelea "International Color Consortium"
Mimi ninaongelea META usipotoshe. Hiyo 2012 inammanisha nini ndugu?
 
Hii ni 2015 kawadanganye wale 1947 watu wameshajanjaruka...
Maswali hayo 2 tu yamekutoa jasho
 
Huelewi chochote unaongelea "International Color Consortium"
Mimi ninaongelea META usipotoshe. Hiyo 2012 inammanisha nini ndugu?

Soma bandiko lako mwenyewe. Hizo metadata ni za nini? ProfileDateTime inahusu ICC profile siyo photo.
 
Hapa tunaongelea technology dada. Ndani ya picha kuna taarifa zilizojificha ukipiga camera zinahifadhiwa. Mambo ya common sens ni ya kwako.

kwa nyie wageni wa technolojia ni shida sana, inawezekana camera haijasetiwa time n date so inasave kwa mwaka wakutengenezwa hiyo camera mkuu. Na wabongo wengi kuset mda na tarehe kwenye camera hawana huo mda
 
Back
Top Bottom