Kulingana na meta info. Picha ya myika kuwepo kwenye mkutano ni uongo.

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,831
Nimepata META DATA za picha iliyowekwa kuelezea kuwa Myika alikuwa kwenye Secretariety inaonesha kuwa picha hiyo ni ya 2012. Kwahiyo bwana @RUCCI Tumuweke naye katika kundi la kutokuaminika. Hizi hapa ndizo tarifa za hiyo picha iliyo wekwa

Camera

Camera info not found.

Author and Copyright

Copyright not found.

Location

GPS coordinates not found.

EXIF

EXIF data not found.

XMP

XMP data not found.

Maker Notes

Maker Notes data not found.

ICC Profile

ProfileCMMTypelcms
ProfileVersion2.1.0
ProfileClassDisplay Device Profile
ColorSpaceDataRGB
ProfileConnectionSpaceXYZ
ProfileDateTime2012:01:25 03:41:57
ProfileFileSignatureacsp
PrimaryPlatformApple Computer Inc.
CMMFlagsNot Embedded, Independent
DeviceManufacturer
DeviceModel
DeviceAttributesReflective, Glossy, Positive, Color
RenderingIntentPerceptual
ConnectionSpaceIlluminant0.9642 1 0.82491
ProfileCreatorlcms
ProfileID0
ProfileDescriptionc2
ProfileCopyrightFB
MediaWhitePoint0.9642 1 0.82491
MediaBlackPoint0.01205 0.0125 0.01031
RedMatrixColumn0.43607 0.22249 0.01392
GreenMatrixColumn0.38515 0.71687 0.09708
BlueMatrixColumn0.14307 0.06061 0.7141
RedTRC(Binary data 64 bytes)
GreenTRC(Binary data 64 bytes)
BlueTRC(Binary data 64 bytes)

Naomba tuache ubabaishaji
 
Hivi Mwaka 2012 Salum mwalimu alikuwa kiongozi wa CDM? Naomba kufahamishwa mleta mada
 
Kwann CDM wanajaribu kuaminisha watu kwa propaganda??
Kwani kudanganya kwamba mtu yuko kwenye kikao wakati hayupo huwa kuna faida gani???
 
jaribi muda mwingine kutumia "common sense". Picha hiyo kama haijawahi kuwekwa kwenye mtandao kabla itakupa taarifa za uongo.
Hapa tunaongelea technology dada. Ndani ya picha kuna taarifa zilizojificha ukipiga camera zinahifadhiwa. Mambo ya common sens ni ya kwako.
 
Hapa tunaongelea technology dada. Ndani ya picha kuna taarifa zilizojificha ukipiga camera zinahifadhiwa. Mambo ya common sens ni ya kwako.

hakuna lolote nimewahi kujaribisha hiyo uwongo tupu. usiamini kila kitu. umeulizwa swali dogo tu je Mwalimu alikuwa makamu mwenyekiti zanzibar 2012? kumbuka ni mwaka jana ndiyo uchaguzi umefanyika ambapo salumu mwalimu alipata huu wadhifa. halafu bado upo na meta data
 
Salum mwalimu alikuwa kiongozi wa chadema 2012 jibu twende sawa mkuu! Meza kuu inaonyesha mbowe akiteta jambo na Mwalimu
Nimesema kulingana na taarifa zilizo ndani ya hiyo picha inaonekana ni 2012. issue za ndani ya chama chenu siyajui kama alikuwa kiongozi au la. kwani kuteta na mbowe pale ndio maana ya kuwa kiongozi. Acheni uongo.
 
unakimbia nini sasa unagoogle kama zuzu bila kutumia ubongo..
 
Kwann CDM wanajaribu kuaminisha watu kwa propaganda??
Kwani kudanganya kwamba mtu yuko kwenye kikao wakati hayupo huwa kuna faida gani???

Do not disturb your mind its just Thegame
 
Last edited by a moderator:
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom