Kulingana na meta info. Picha ya myika kuwepo kwenye mkutano ni uongo.

Mkuu hivi profile date na picture date ni sawa? Na hisi kuna mambo umechanganya hapo......!
 
KATUNI%2BYA%2BDAIMA%2BAGOSTI%2B001.jpg
 
Nia yako ni kutaka kutuonyesha unaweza kudukua info za picha but umepotea,mwaka 2012 salum mwalimu alikua mfangakazi wa vodacom au channel ten kama sikosei sasa kwenye kikao cha chadema alifuata nini hiyo 2012? pyuuuuuuu!!!!

HAHAHAHAA msamehen dada etu anaeli bana AMESHANYOOKA! hakujua anachopost ni nini...
 
Back
Top Bottom