Takalani Sesame
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 588
- 161
Kibwetere kaibukia tena huku wakuu..
Huyu ametumwa,si unajuwa wanasema chadema ni chama cha wakristo?So sishangai kama huyu ni mchungaji wa cuf.
Anayoyasema,ameconclude eti heri ccm itawale milele,angekuwa legitimate,ange suggest watu wafanye maombi nk.
Nabii huyu ni wa uongo kabisa,hii wapeleke kule jukwaa la dini kama bado lipo.
Nikaona landrover zinapita kwa kasi za kijeshiii.........................
Nikaona Mabomu yakiruka juu huku wakina mama na watoto wakihahaha...............
Nikaona watu walivalia vitambaa usoni na ma rocket njema wakilipua magorofa makubwa ya posta likiwemo la bank kuu, na PPF tower.....
Nikaona shule moja ikilipuliwa moto............
Nikaona wanajeshi viongozi wakuu wakiwa wameuawa kiholela mabarabarani.........
Nikaona magari ya UN yakiwa yanapita ubungo.......yakiwa na askari wa kulinda usalama...
Nikaona vyombo vya habari vikiwa vinatoa historia ya Tanzania kwenye screen moja kubwa kwenye hotel moja.....radio na television zetu zilikuwa haziongei tulikuwa hatujui nini kinachoendelee......................
Nikaona pick up ya jeshi ikitangaza nchi imepinduliwa na watu wakawa wanashangilia mitaani kama mpira.........
Nikaona ikulu ikiwa inawaka moto............
sikumuona rais wetu...........................................
Niliogopa nikaogopa sana kwani niliyoyaona yanatia huruma, wanawake walifanyiwa unyama mkubwa kwani walibakwa hadharani......
Eeeh Mungu epusha hiyo hali na Wapendwa ombeni .

Are you born again? Sasa Jeshi litapindua chama gani kama siyo CCM iliyopo madarakani????
Kibwetere kaibukia tena huku wakuu..
silly thread of a day...lo!
Are you born again? Sasa Jeshi litapindua chama gani kama siyo CCM iliyopo madarakani????
kwikwikwikwi umenichekesha sana leo so creativeNikaona bajaji yenye namba T 2015 CCM imejaa masela na inakimbia mwendo wa kasi kuelekea ikulu, mara likatokea roli aina ya Benzi lenye namba za usajili T 2015 CDM, kwa bahati mbaya likagongana na bajaji, sikuamini macho yangu bajaji ile ilirushwa upande wa pili na nilipokaribia jamaa mmoja anayejulikana sana alikuwa akimalizikia kwa maneno ya uchungu akisema poleni watanzania kwa kuwaibia, naomba msimfunge mwanangu.
Eee Mungu lete hii hali mapema na Wapendwa ombeni.
"We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"
Nikaona landrover zinapita kwa kasi za kijeshiii.........................
Nikaona Mabomu yakiruka juu huku wakina mama na watoto wakihahaha...............
Nikaona watu walivalia vitambaa usoni na ma rocket njema wakilipua magorofa makubwa ya posta likiwemo la bank kuu, na PPF tower.....
Nikaona shule moja ikilipuliwa moto............
Nikaona wanajeshi viongozi wakuu wakiwa wameuawa kiholela mabarabarani.........
Nikaona magari ya UN yakiwa yanapita ubungo.......yakiwa na askari wa kulinda usalama...
Nikaona vyombo vya habari vikiwa vinatoa historia ya Tanzania kwenye screen moja kubwa kwenye hotel moja.....radio na television zetu zilikuwa haziongei tulikuwa hatujui nini kinachoendelee......................
Nikaona pick up ya jeshi ikitangaza nchi imepinduliwa na watu wakawa wanashangilia mitaani kama mpira.........
Nikaona ikulu ikiwa inawaka moto............
sikumuona rais wetu...........................................
Niliogopa nikaogopa sana kwani niliyoyaona yanatia huruma, wanawake walifanyiwa unyama mkubwa kwani walibakwa hadharani......
Eeeh Mungu epusha hiyo hali na Wapendwa ombeni .
Bora mwisho wako wa dunia ufike mapema (ili milele yako itimiie) ili usije kuwa disapointed utakapoona CCM iko kaburini na maghorofa ya BOT, Posta, Ikulu n.k. yakiwa bado yamesimama!!
Bora mwisho wako wa dunia ufike mapema (ili milele yako itimiie) ili usije kuwa disapointed utakapoona CCM iko kaburini na maghorofa ya BOT, Posta, Ikulu n.k. yakiwa bado yamesimama!![/QUO
Sita kufa bali nitaishi nami nisimulie matendo makuu ya BWANA
Udhaifu hutokea pale kwenye uimara.........angalia usidhani umesimama usije anguka...asikiae na afahamuTanzania haita tokea aisee sisi ni watu wa amani