Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele:

I hate mnaotumika Kwa Njaa zenu kuumiza wenzenu tushawachoka hayo maono hayawaoni wanaoficha fweza zetu Uswis???? Wezi wa Twiga jee???? Epa? Akina yona na Mramba???? Naomba leo kaangalie Katika Ulimwengu wa Roho Riziwani kapata wapi utajiri anaomiliki????
 
Mimi, nilikuwa mbele yako nilivaa nguo nyeupe ndie nilikuonesha yale yote nilikuwa nakupima kama unaweza kushirikisha ubongo wako nimegundua kuwa wewe ni Bonge la Bongolala
 
Nikaona landrover zinapita kwa kasi za kijeshiii.........................

Nikaona Mabomu yakiruka juu huku wakina mama na watoto wakihahaha...............

Nikaona watu walivalia vitambaa usoni na ma rocket njema wakilipua magorofa makubwa ya posta likiwemo la bank kuu, na PPF tower.....

Nikaona shule moja ikilipuliwa moto............

Nikaona wanajeshi viongozi wakuu wakiwa wameuawa kiholela mabarabarani.........

Nikaona magari ya UN yakiwa yanapita ubungo.......yakiwa na askari wa kulinda usalama...

Nikaona vyombo vya habari vikiwa vinatoa historia ya Tanzania kwenye screen moja kubwa kwenye hotel moja.....radio na television zetu zilikuwa haziongei tulikuwa hatujui nini kinachoendelee......................

Nikaona pick up ya jeshi ikitangaza nchi imepinduliwa na watu wakawa wanashangilia mitaani kama mpira.........

Nikaona ikulu ikiwa inawaka moto............

sikumuona rais wetu...........................................

Niliogopa nikaogopa sana kwani niliyoyaona yanatia huruma, wanawake walifanyiwa unyama mkubwa kwani walibakwa hadharani......

Eeeh Mungu epusha hiyo hali na Wapendwa ombeni .

Kuna roho na pepo..hili lako ni pepo!
 
Wewe ulipoamka, mimi nikasinzia na kuendeleza ndoto yako,
nimeyaona magari meupe yamepambwa kwa dhahabu. . . .
Nimelina kombe la ligi ya tanzania limetengenezwa kwa dhahabu safi.
Nimewaona waajiriwa wa tanzania tazama ni watumwa wa kizungu,
nimemuona mfalme mweusi akila pamoja na watu wake bila hofu.

Pia nimeona kama kifaru kinaelekea nyasaland (malawi) kwa kasi ya buraq.
 
Katika historia ya ndoto zako zipi zimewahi kutimia? Kama kweli ni mtuwa rohoni umemuuliza aliyekuonesha ndoto hiyo? Kama hujauliza maana yake usituletee ndoto zako maana hazina maana. Lakini taka usitake mabadiliko lazima yaje au ulikuwa unakumbuka tulivyokuwa tukiambiwa kuwa kukiwa na vyama vingi kutakuwa na vita! Mbona Uk na USA hakuna vita mbona na kule kuna vyama vingi? Acha mawazo ya Usisiem wewe.
 
Mara baada ya hayo peoples power ilishinda wala mahali pa sisiem hapakuonekana tena, wote walipelekwa the haggue.
 
Ndoto yako inakaukwel ndan yake..na yanayotokea.
Ila la ccm ktawala,kwakuwa n maoni binafsi, fine bt natamani mambo yabadilike
 
Nikaona landrover zinapita kwa kasi za kijeshiii......................
...............kwa mara ya kwanza jeshi waliingia kutuliza vurugu nikiwa na ufahamu.....

Nikaona Mabomu yakiruka juu huku wakina mama na watoto wakihahaha...............
................hakika wakinamama walihangaika siku ya jana............
Nikaona watu walivalia vitambaa usoni na ma rocket njema wakilipua magorofa makubwa ya posta likiwemo la bank kuu, na PPF tower.....
Mungu alizuia lisitokee japo wanao valia vitambaa usoni wanajulikana...........
Nikaona shule moja ikilipuliwa moto............
[h=5]Ashura Kayupayupa
[/h][h=5]?#BewareThisFriday
"We have been made aware of possible demonstrations today after prayers in the Chang'ombe and Mbagala areas and we have also heard that the demonstrators are targeting christian schools. Whilst we hope this is not the case we do have to advise you of these matters." From a credible source
[/h]Makanisa yamechomwa pia hizi ni shule za jumapili na kuabudia..............

Nikaona wanajeshi viongozi wakuu wakiwa wameuawa kiholela mabarabarani.........

Nikaona magari ya UN yakiwa yanapita ubungo.......yakiwa na askari wa kulinda usalama...
Mungu alizuia lisitokee kwani wale makomando hawakuweza kuingia ikulu walizuiwa na usalama wa taifa.
Nikaona vyombo vya habari vikiwa vinatoa historia ya Tanzania kwenye screen moja kubwa kwenye hotel moja.....radio na television zetu zilikuwa haziongei tulikuwa hatujui nini kinachoendelee......................
HAKIKA TBC amabayo ni ya wananchi haikutangaza ............
Nikaona pick up ya jeshi ikitangaza nchi imepinduliwa na watu wakawa wanashangilia mitaani kama mpira.........
Mungu alizuia lisitokee
Nikaona ikulu ikiwa inawaka moto............
..........ulikuwa kwenye ulimwengu wa roho za kishetani.
 
mh!inaonekana ulishiriki maandamano ijumaa.isijekuwa ulitupiwa KITU KIZITO?!nenda MOI.
 
Asante Bwana Yesu kwa kutupa wabeba maono juu ya Tanzania! Ndugu zangu tukumbuke hata kipindi cha Nuhu Mungu alileta maono kuhusu ujio wa GHARIKA, pia Kipindi cha SODOMA NA GOMORRAH KWA KUWATUMIA IBRAHIMU NA LUTU, Mungu alisema nao juu ya kinachoenda kuipata nji. LAKINI WABEBA MAONO HAWA WOTE WALIDHARAULIWA, KUCHEKWA,KUTUKANWA NA KUBEZWA.Lakini ukweli ni kwamba yaliyo onwa na kuonya yalienda kutokea kama ilivyo. Hivyo basi kwa Maono haya ya ndugu yetu ambayo ameoneshwa kabla hata ya siku ya maandamano ya Ijumaa pale Kariakoo, Sehemu yameshatokea na sehemu bado! Kwa nini!!? Kwa sababu Mungu ametupa nafasi ya kupiga magoti na kuomba amani juu ya destiny ya Taifa letu na pia sisi wenyewe tuziache Njia zetu mbaya na tumgeukie yeye.Kinyume na hapo hakuna hata kimoja katika maono haya ambacho hakitatokea.WATANZANIA TUMLILIE MUNGU WETU ILI ATUNUSURU NA JAMBO HILI BAYA ALILOTUONESHA KWA KUPITIA MTUMISHI WAKE NA JF!
 
Nikaona mfuasi wa she yahya kaanza kazi ya kuwatabiria wana jf lakini Mungu kawaonyesha mapema kua katumwa na Gambazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom