kulala hivi inawezekana?

Siongei bila data. Hii nimeambiwa na sources za uhakika including male an female professors na nimekaa mtaani hence was able to mix with them.

Yes wakiolewa wanaacha kazi wanalea watoto mpaka wanakua and that takes long time hivyo hawawezi kuwa employed kwenye professional works. Wanachoishia kufanya ni kuuza super markets and the like.

Hence new generation hawako ready ku risk kuzaa na wengine hawataki hata kuolewa kwani ukikaa home 10 years hamna ofisi inakuwa inakuhitaji zaidi ya kuuza super market.

Na nasema ni culture kwa sababu they believe and demand that a mother should raise kids. Nilikuwa na mwenzangu yeye alikuwa na mtoto na aliweza kumlipia day care na ni mbongo utanambia wao wamekosa ela ya kulipia day care??? It is not about money or they are poor ni kuwa mama anatakiwa kulea watoto.

Huwezi kuelewa culture ya mtu kama lugha hujui. Kwa hiyo hizo data za kuhadithiwa kwa lugha nyengine mimi binafsi hazinisaidii.

Btw: Hiyo day care alikuwa akipeleka yeye tu Mbongo? Au hao wajapani wengine wanaopeleka watoto day care hawafanyi kazi?

Kuamua kufanya kazi au kutofanya ni choice ya mtu. Sijaona upotofu hata kidogo kama mtu akiamua kutokufanya kazi na badala yake kulea watoto. At end of the day education inayotafutwa ni kwa ajili ya kuongeza thinking capability ya mtu na sio kwa lengo la kufanya kazi (and thats Japanese mentality for you)

Namjua mbongo mwenye PhD anaishi uingereza hafanyi kazi, anatumia mshahara wa mume, na wenye masters wasofanya kazi wabongo wamejaa telee. Au napo tutasema ni culture ya wabongo?

Na hapo kwenye nyekundu unakubali sasa kuwa wanafanya kazi? (ile ya culture yao ina demand wasifanye kazi imepotelea wapi?)
 
Why are you concluding kuwa sijuhi lugha??? Na alokwambia kuwa culture ni lugha tu nani?? Naona unataka ni ku convince kuwa am telling the truth. Sorry; if you are so much interested conduct a research. Sikujua kuwa unahitaji msaada.

Huwezi kuelewa culture ya mtu kama lugha hujui. Kwa hiyo hizo data za kuhadithiwa kwa lugha nyengine mimi binafsi hazinisaidii.

Btw: Hiyo day care alikuwa akipeleka yeye tu Mbongo? Au hao wajapani wengine wanaopeleka watoto day care hawafanyi kazi?

Kuamua kufanya kazi au kutofanya ni choice ya mtu. Sijaona upotofu hata kidogo kama mtu akiamua kutokufanya kazi na badala yake kulea watoto. At end of the day education inayotafutwa ni kwa ajili ya kuongeza thinking capability ya mtu na sio kwa lengo la kufanya kazi (and thats Japanese mentality for you)

Namjua mbongo mwenye PhD anaishi uingereza hafanyi kazi, anatumia mshahara wa mume, na wenye masters wasofanya kazi wabongo wamejaa telee. Au napo tutasema ni culture ya wabongo?

Na hapo kwenye nyekundu unakubali sasa kuwa wanafanya kazi? (ile ya culture yao ina demand wasifanye kazi imepotelea wapi?)
 
Why are you concluding kuwa sijuhi lugha??? Na alokwambia kuwa culture ni lugha tu nani??

Unataka kusema kukaa Japani miaka miwili kufanya masters unajua lugha ya kuelewa culture?

Sijasema lugha ndio culture. Ninachosema ni huwezi kujua culture ya mtu bila kujua lugha. Hiyo huhitaji kuwa rocket scientist kuelewa.
 
Wanawake unapowauliza wanaenda kazini kwa malengo gani unakutana na majibu yafutayo

1. Kujipatia kipato: Akipata pesa zake atumie apendavyo, pamoja na kusaidia familia yake kuishi vizuri.
2. Kujiridhisha nafsi: Nafsi iridhike kuwa unafanya kitu muhimu, upo katika nafasi za uongozi, maamuzi yako yanazingatiwa
3. Kusaidia jamii: Jamii inahitaji nguvu kazi zote ili iendelee kwa hiyo nawe unafanya kazi kutoa mchango wako.

Mwanamke anaeamua kuacha kazi na kulea watoto badala yake anafikiri hivi

1. Kipato cha mume wangu kinatutosha kuishi vizuri, mimi pamoja na familia yangu na yake, pamoja na kujitanafas kwenye matumizi yangu binafsi hivyo sihitaji kwenda kazini kwa ajili ya kipato tu
2. Nafsi yangu inaridhika zaidi kuona my baby's first steps, kumlisha chakula, kumbadilisha diaper huku akinitizama, na kuweza kutoa mafunzo kwa mwanangu yatakayo shape its character for the rest of its life. Nafsi yangu inaridhika zaidi kuona mimi ninatekeleza vyema majukumu ya mama kama nature ilivyopanga, hivyo sihitaji kufanya kazi ili niridhike nafsi
3. Kusaidia jamii: Kimsingi jamii yangu tayari imeshaendelea, na pia siwezi kufanya sacrifice kubwa ya kutolea mwanangu kwa ajili ya jamii. Acha inisubiri mpaka mtoto akiwa mkubwa nitarejea kutumikia taifa

Binafsi namshangaa mwanamke anaelazimisha kwenda kazini huku akiwa na watoto wadogo iwapo mazingira ya kutokufanya hivyo bila ya kuathirika familia yapo.Elimu niliyonayo ndio haswa iliyonifungua macho kuona kuwa sio lazima niende kazini ku-feel worthy of myself
 
na hapo umetaja wake wawili umesahau small houses 2 na hgeli pia,lol
hayo mambo ya ku do mpaka mnapotaka babies nasikia ni wayahudi
wale fundamentalist..sijui wajapan....

but culture zingine unagundua kuwa sisi waafrika hasa wanaume tulivyo'bahatika'
ulaya ukimwambia mtu nina wake wawili...anakutazama kama cinema lol
 
watanzania tuige mfano wao.maisha ya kukumbatiana kwenye joto na hata wale sehemu za baridi pia kupungue! Kwani kasi ya maambukizi ya ukimwi ni kubwa.hata mtu mkewe au mume akiumwa basi lazima apate mkumbato eneo lingine.
 
kama unafikiria culture ni lugha pekee still inawezekana. kuna nchi ambazo shule zake unasoma lugha for a year tu na kuanza kuchapa kitabu/kazi. na hata kama unafanya culture studies sio lazma uelewe lugha otherwise huko umang'atini kusingefanyika any cultural studies! kuna observational studies pia..lest we forget. labda ungemjibu kuwa ww umekaa miaka mingapi na kama ndo std ya kujua culture za kulala?
Unataka kusema kukaa Japani miaka miwili kufanya masters unajua lugha ya kuelewa culture?

Sijasema lugha ndio culture. Ninachosema ni huwezi kujua culture ya mtu bila kujua lugha. Hiyo huhitaji kuwa rocket scientist kuelewa.
 
Ktk kusoma comment zote nimegtndua kila jamii ima culture zao so hatunabudi kuendelea na hii ya kwetu na kuachana na kuiga za kwao
 
kama unafikiria culture ni lugha pekee still inawezekana. kuna nchi ambazo shule zake unasoma lugha for a year tu na kuanza kuchapa kitabu/kazi. na hata kama unafanya culture studies sio lazma uelewe lugha otherwise huko umang'atini kusingefanyika any cultural studies! kuna observational studies pia..lest we forget. labda ungemjibu kuwa ww umekaa miaka mingapi na kama ndo std ya kujua culture za kulala?

Kuna nchi, but nchi hiyo ni Japani?

Sifikiri culture ni lugha, lakini bila ya kujua lugha kuielewa culture ya mtu ni ngumu sana. Ku-observe tu au kupata mkalimani tu akakuambia anachotaka yeye kuhusu culture ndio kunakosababisha kupata biased opinion na ndio maana maelezo yake yamekuwa na dosari nyingi.

Mara culture inalazimisha watu wasifanye kazi, mara kumbe inawaruhusu kufanya kazi zisizo professional, mara hawendi kazini wakiolewa tu, mara wanalazimika kuchukua likizo ndefu wakizaa (which means walikuwa wakienda kazini walipoolewa hadi kufikia kuzaa), mara hawafanyi kazi wakizaa, mara mbongo alikuwa akipeleka day care ambayo na wajapani wengine wanapeleka . Contradictions after contradictions.
 
So let me accept it as I'm being fed. Wanawake hawafanyi kazi, lakini nchi ni ya tatu kwa uchumi duniani. What a great job the guys do......Amazing!

Peace out
 
sio lazima iwe japani japokua inaweza kuwa japani pia. one of the big weaknesses za qualitative research (japo hapa none of u amefanya research,ni observations tu) ni kuwa hakuna generalisation! it is very subjective due to phenomenology and a lot of stuff might can make the observer arrive to a conclusion. nyumba kubwa anaweza kuwa sawa, nawe pia unaweza kuwa sawa. ingekuwa na utafiti mnafanya hapa mngeweza kujenga cases zenu kujitetea with scientific evidence. as long as that is lacking,i am just saying u might both be right. nasisitiza sio lazima kujua lugha fluently ili kuweza kujua tamaduni za watu, wakalimani wana sehemu yao inayoheshimika. la sivyo sehemu nyingi zisinge-penyeka.
Kuna nchi, but nchi hiyo ni Japani?

Sifikiri culture ni lugha, lakini bila ya kujua lugha kuielewa culture ya mtu ni ngumu sana. Ku-observe tu au kupata mkalimani tu akakuambia anachotaka yeye kuhusu culture ndio kunakosababisha kupata biased opinion na ndio maana maelezo yake yamekuwa na dosari nyingi.

Mara culture inalazimisha watu wasifanye kazi, mara kumbe inawaruhusu kufanya kazi zisizo professional, mara hawendi kazini wakiolewa tu, mara wanalazimika kuchukua likizo ndefu wakizaa (which means walikuwa wakienda kazini walipoolewa hadi kufikia kuzaa), mara hawafanyi kazi wakizaa, mara mbongo alikuwa akipeleka day care ambayo na wajapani wengine wanapeleka . Contradictions after contradictions.
 
Inawezekana why not? si ni kuamua tu sioni kama ni tatizo hilo na hata vijijini kwa wale wenye wake wengi wanafanya hivyo na wanaume kazi yake inakuwa ni kufanya ziara leo nyumba hii kesho nyingine na kadhalika.
 
Sijui hao wajapan na mila zao lakini bible inasema mtu ataacha wazazi wake ili kumfuata mumewe. Sasa sioni logic uachane na wazazi wako au kuna wanawake wako njema wana mijengo yao ya ukweli kabisa halafu uwaambie waje walale kwa mume tena chumba tofauti kisa eti mila!!! Kiukweli tuache kujidharau waaafrika kwa misingi ya mila potofu zilizomuasi Mungu!
 
Basi walokwambia wamekupotosha.

Wajapani wanafanya kazi wakiwa na watoto majumbani kama kawaida. Hata kama si kazi rasmi za maofisini. Mimi maprofesa nilokutana nao wanafamilia na colleagues nilofanya nao kazi wana watoto nyumbani.

Wengi wakipata watoto huacha kazi kwa muda kwa sababu hakuna vituo vya kutosha vya day care na hakuna mwenye uwezo wa kulipa maids na mama zao wenyewe (bibi za watoto) wanaenda makazini. Lakini watoto wakianza shule hurejea makazini.

Sasa maofisi mengi yana facilities za kulelea watoto hapo hapo kwa hiyo wenye kurejea kazini baada ya kuzaa tu ni wengi mno.

Kuwasikia wakisema nj mila potofu sijawahi na Sioni kwa nini iitwe mila potofu. Mwanamke ana choice ya ama kufanya kazi au kubaki home. Ni mila nzuri tu mwanamke kuchagua kufanya akipendacho na kuweza kulea mtoto mwenyewe sio kama sisi tunavyowaacha house maids waliofeli shuleni kutulelea watoto

Kuishi kwangu kwenye culture tofauti sijawahi kutana na watu wanaopenda kuolewa kama Wajapani maishani na ndio maana kuna culture( be it pop or traditional) ya kutafuta wachumba.

Naamini umeishi miaka hiyo miwili bila ya kujua lugha yao hivyo kupitwa na mengi kwenye social system yao. Unaweza kuwa ulikuwa lost in translation[/QUOTE]

mhh mbona unasuta sana?
r u sure ajui lugha yao?

BT THAX 4THE INFO SIS.....SIKUJUA MENG JU YA WAJAPAN BT NOW AT LEAST...tank u tank u pipo.
 
sio lazima iwe japani japokua inaweza kuwa japani pia. one of the big weaknesses za qualitative research (japo hapa none of u amefanya research,ni observations tu) ni kuwa hakuna generalisation! it is very subjective due to phenomenology and a lot of stuff might can make the observer arrive to a conclusion. nyumba kubwa anaweza kuwa sawa, nawe pia unaweza kuwa sawa. ingekuwa na utafiti mnafanya hapa mngeweza kujenga cases zenu kujitetea with scientific evidence. as long as that is lacking,i am just saying u might both be right. nasisitiza sio lazima kujua lugha fluently ili kuweza kujua tamaduni za watu, wakalimani wana sehemu yao inayoheshimika. la sivyo sehemu nyingi zisinge-penyeka.

guudd..umewambia vyema..
kat ya ao wawili akuna anayejua zaid ya mwenzake so haina haja ya mmoja wapo kumwona mwenzake ajui ...cz akuna aliyefanya utafit juu ya ilo ..n kujua/kutojua lugha si kigezo!!!!!!!!!!

so ur BOTH WINERS.NUKTA.
 
Basi walokwambia wamekupotosha.

Wajapani wanafanya kazi wakiwa na watoto majumbani kama kawaida. Hata kama si kazi rasmi za maofisini. Mimi maprofesa nilokutana nao wanafamilia na colleagues nilofanya nao kazi wana watoto nyumbani.

Wengi wakipata watoto huacha kazi kwa muda kwa sababu hakuna vituo vya kutosha vya day care na hakuna mwenye uwezo wa kulipa maids na mama zao wenyewe (bibi za watoto) wanaenda makazini. Lakini watoto wakianza shule hurejea makazini.

Sasa maofisi mengi yana facilities za kulelea watoto hapo hapo kwa hiyo wenye kurejea kazini baada ya kuzaa tu ni wengi mno.

Kuwasikia wakisema nj mila potofu sijawahi na Sioni kwa nini iitwe mila potofu. Mwanamke ana choice ya ama kufanya kazi au kubaki home. Ni mila nzuri tu mwanamke kuchagua kufanya akipendacho na kuweza kulea mtoto mwenyewe sio kama sisi tunavyowaacha house maids waliofeli shuleni kutulelea watoto

Kuishi kwangu kwenye culture tofauti sijawahi kutana na watu wanaopenda kuolewa kama Wajapani maishani na ndio maana kuna culture( be it pop or traditional) ya kutafuta wachumba.

Naamini umeishi miaka hiyo miwili bila ya kujua lugha yao hivyo kupitwa na mengi kwenye social system yao. Unaweza kuwa ulikuwa lost in translation

Gaijin-san
umeongea ukweli,hivyo ndo Japan ilivyo.Ni tofauti sana na Tanzania ambapo tuna extended family,mfano kwa tz mwanamke akiwa amejifungua achilia mbali kuwa na maid atakayepewa majukumu yote ya kulea mtoto na mama kwenda kazini,pia tuna ile dada,mtoto wa mjomba,au mama atakuja kusaidia malezi ya mtoto .Lakini kwa Japan hicho kitu hakuna hata hizo day care centre gharama zao kwa mwezi utashangaa zinataka kulingana na huo mshahara anaoupata mama,kwa hiyo wengi hu-opt kutofanya kazi hadi mtoto aanze kwenda shule.
 
Basi walokwambia wamekupotosha.

Wajapani wanafanya kazi wakiwa na watoto majumbani kama kawaida. Hata kama si kazi rasmi za maofisini. Mimi maprofesa nilokutana nao wanafamilia na colleagues nilofanya nao kazi wana watoto nyumbani.

Wengi wakipata watoto huacha kazi kwa muda kwa sababu hakuna vituo vya kutosha vya day care na hakuna mwenye uwezo wa kulipa maids na mama zao wenyewe (bibi za watoto) wanaenda makazini. Lakini watoto wakianza shule hurejea makazini.

Sasa maofisi mengi yana facilities za kulelea watoto hapo hapo kwa hiyo wenye kurejea kazini baada ya kuzaa tu ni wengi mno.

Kuwasikia wakisema nj mila potofu sijawahi na Sioni kwa nini iitwe mila potofu. Mwanamke ana choice ya ama kufanya kazi au kubaki home. Ni mila nzuri tu mwanamke kuchagua kufanya akipendacho na kuweza kulea mtoto mwenyewe sio kama sisi tunavyowaacha house maids waliofeli shuleni kutulelea watoto

Kuishi kwangu kwenye culture tofauti sijawahi kutana na watu wanaopenda kuolewa kama Wajapani maishani na ndio maana kuna culture( be it pop or traditional) ya kutafuta wachumba.

Naamini umeishi miaka hiyo miwili bila ya kujua lugha yao hivyo kupitwa na mengi kwenye social system yao. Unaweza kuwa ulikuwa lost in translation[/QUOTE]

mhh mbona unasuta sana?
r u sure ajui lugha yao?

BT THAX 4THE INFO SIS.....SIKUJUA MENG JU YA WAJAPAN BT NOW AT LEAST...tank u tank u pipo.

yeah,uhakika wa kutojua lugha ni mkubwa kwa huyo jamaa,hasa kwa hawa wanaokuja kusoma masters miaka miwili hawatumii kijapani kabisa,na hili li nchi bila kujua lugha yao unapitwa na mengi sana.
 
Back
Top Bottom