Kula Chakula nyumbani.

Hivi bandugu kwa nini wawake wanapenda waume zao wale nyumbani?
Yaani usipokula nyumbani utakuwa umekula nje?
Mkigombana ugomvi ukiisha lazima ule! usipokula ugomvi haujaisha!
Akitaka ku-appreciate kitu, lazima atakupa ule?
Je, KULA ndio kipimo cha mapenzi?
Tatizo hapo ni tafsiri tu, sasa hebu Jesuit tusaidie umemaanisha chakula gani hapo? maana binafsi naona hapo inamaanisha chakula cha kawaida kama ugali, wali nk tusaidie mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom