Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
"Hili jamvi sasa hivi limekuwa la kihuni"
Uhuni upo wapi hapo???
"Hili jamvi sasa hivi limekuwa la kihuni"
"Hili jamvi sasa hivi limekuwa la kihuni"
Mkuu kama vipi potezea tu nenda , forums nyingine.
ha hahaaaaaaaaa swty umeambiwa si kula wali na maharage lol
hapa wenzio wanaongelea kula tunda la uzima!!!!!!!!!!
Mkuu kama vipi potezea tu nenda , forums nyingine.
Uhuni upo wapi hapo???
kama jamvi la kihuni na wewe kaa kihuni vilevile!!! sasa utaanyaje?
Nina zawadi ya mtoto,una jifungua lini?
Huna mamlaka ya kunifukuza.
povu la nini! Naona umepotea leo.
Hata shetani huwaona watu wanaokwenda kwenye nyumba za ibada kuwa wamepotoka.
To me kula si kipimo cha mapenzi bali kunanogesha penzi,ebu fikiria babako angekuwa hali nyumbani ungejiskiaje?ungemuona sa ngapi akijiramba?akisifia upishi wa mama yako?ungejuaje kama na yy anapenda nyma,pilipili,hapendi chumvi?
Mume kula nyumbani kuna raha sana kwanza anajua ile pesa aloacha ya matumizi kama imetosha au la,pili kile kidogo kilichopo mnaweza kugawana na kwa upendo kikaonekana ni kikubwa sana,
tatu yy ndo mtoto mkubwa nyumbani lazima awe na manners ya kula hme that means inabidi awahi hom,na mwisho wakati nakuwa mama alinifunza kutokula kwa watu so leo ni wajibu wangu kumfunza mume wangu kula nyumbani.
chukua mawe uanze kurushia MMU kama wewe hujapotoka.
Hata shetani huwaona watu wanaokwenda kwenye nyumba za ibada kuwa wamepotoka.
Wewe uko na mapepo nini, au mama alikuambia ule ukqshindwa???
Nenda Loliondo matatizo yote kwishney