Kula ban ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaa

Ningekuwa mi ndio mod ningempa ban ya 4 yrs. Bado hajajifunza.
 
Sababu ya kula ban uliambiwa ni nini? na unahisi leo hujairudia?
 
wewe huelewi maana ya great thinkers? nakushauri usitumie maneno yanayoacha maswali. kwa mfano K maana yake nini? kwa hilo tu mimi napendekeza ule BAN Mpaka hapo utakapojifunza adabu. hiki sio kijiwe cha wavuta bangi.
 
Karibu sidhani kama utapata ban tena japo ujio wako wa pili una utata!
 
Haya ukae kwa heshima na adabu, sikupigi ban tena, lakini usizowee wala usirudie, ukirudia nakupiga ban ya maisha!
mi nakubaliana na aliyeanzisha thead, kuna watu wana mambo ya ki-Kweche sana.
Ila mkuu utakula ban tena. Twende taratibu.
 
Back
Top Bottom