Kukosa result slip ya A-level kunaweza kunikosesha ajira?

asa
Result slip haitambuliki kwenye ajira za serikali wala usihofu, na pia unaweza kuipata pale NECTA, nadhani saivi ni elfu 20 tu
asante mzee mwenzngu...kama umeshawahi kuchukua ulitumia mbinu gani na ni siku ngapi hadi kupewa..?
 
Ilikuwa siku moja tu. Asubuhi, hadi jioni nikachukua. Unaenda pale, unalipia,unapewa form unajaza, baada ya hapo watakuambi either siku hiyo hiyo au siku nyingine, inategemea na wahusika kama wapo wote.
 
asante naona kuna umuhimu wa kuifuatilia...au unaonaje mzee mwenzangu.
 
tatizo sio kutofautisha mzee mwenzangu tatizo unaweza ukakikosa harafu at the end ukajikuta umokosa ajira...
Point yangu ni kwamba,ukijua utofauti wake utaelewa kwamba result slip ni provisional results ambazo huwa inadumu kwa mwaka mmoja tuu baada ya hapo kinakuwa invalid na kitakachotambuliwa tangu hapo ni academic certificate tuu..Na jambo hili ingetakiwa ulielewe toka ulipomaliza form 4.Ndo maana nashangaa mtu wa chuo kikuu unashindwa vip kuelewa utofauti huo hadi unaleta uzi hapa
 
ASANTE KWA KUNIELEWESHA NDIO MAANA TUKATOFAUTIANA KWA KILA KITU HADI UELEWA TUMETOFAUTIANA. TUNGEEKEWA WOTE PASINGEKUWA NA WAKUMUELEWESHA MWENZAKE
 
sasa utoe taarifa polisi ili iweje? kwa kawaida result slip huwa inaishi kwa mwaka1 tu. hvyo yakwako ilishaexpaya. huyo aliyechukua au kuiba ataishia kufungia vitumbua tu.
 
Braza unawaza sana Ajira ehee,uko nako hakufai tafuta alternative usisubiri ajira...ukipata It's OK ila usiseme unasubiri Ajira ni aibu kwa graduate....umemaliza chuo gani?
nimemaliza pale sauti....universty mzee mwenzangu
 
Yaani mtu anafika chuo kikuu hajui hata matumizi ya result slips. INASIKITISHA SANA.

KWA HALI HII, TANZANIA NI VIGUMU SANA KUMTOFAUTISHA MSOMI NA AMBAYE HAJASOMA.

Kwa vile umesoma saut, HAINA SHIDA-YOU DESERVE MORE THAN THAT
 
ahahah....haya mkuu kwani pale pako mteremko sana nini
 
Yaani mtu anafika chuo kikuu hajui hata matumizi ya result slips. INASIKITISHA SANA.

KWA HALI HII, TANZANIA NI VIGUMU SANA KUMTOFAUTISHA MSOMI NA AMBAYE HAJASOMA.

Kwa vile umesoma saut, HAINA SHIDA-YOU DESERVE MORE THAN THAT
mxiuwww!! sasa wewe uliyesoma Havard mbona ujuha bado haujakuisha?? We unapima uwezo wa mtu wa kufahamu na kupambanua mambo kwa kuangalia chuo alichosoma?? INASIKITISHA SANA!!
 
kwani wewe ni Jipu?!

result slip haina maana yoyote, hio hutolewa wakati wa kusubiri cheti tu, na cheti ukishapata hio slip haina maana na hata kuomba ajira wanaandika kuwa result slips are not allowed!!

labda kama unakipele hapo sion jipu.
Huyu graduate wa wapi huyu....?
Result slip hazina issue yeye hajuia.. Hata ukiomba kazi ssi wanasema zile hazitakiwi.. Au yeye hajawahi kuomba kazi za umaa?
 
mxiuwww!! sasa wewe uliyesoma Havard mbona ujuha bado haujakuisha?? We unapima uwezo wa mtu wa kufahamu na kupambanua mambo kwa kuangalia chuo alichosoma?? INASIKITISHA SANA!!

THIS IS ALSO A SAUT PRODUCT
 
Back
Top Bottom