Kukodisha trekta

Mkuu vipi, ushapata namna ya kukodisha matrekta. Nami nina trekta nimenunua feb mwaka huu ni Ford 7500 2WD. Kama ulipata sehemu ya kazi nijulishe mkuu, kwani naliangalia tu hapa home sijapata namna litarudisha hela yangu. Napatikana kwa whatsapp 0787519910.
Tafadhali mkuu....
 
Back
Top Bottom