Ni maeneo gani ya Uhitaji mkubwa wa Mtrekta ya kulima?

kingunge wa jf

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
455
424
Wanajukwaa mimi ni mmiliki wa trekta zaidi ya moja naomba kujua ni maeneo gani yanauhitaji mkubwa wa trekta wakati wa msimu wa kilimo na ni mwezi upi? Kama mtu Anauhitajika na trekta la kulima naomba aje inbox Chap..!!
 
Nenda Tanga ukapige pesa. Msimu unaanza mwezi ujao
 
Wanajukwaa mimi ni mmiliki wa trekta zaidi ya moja naomba kujua ni maeneo gani yanauhitaji mkubwa wa trekta wakati wa msimu wa kilimo na ni mwezi upi? Kama mtu Anauhitajika na trekta la kulima naomba aje inbox Chap..!!
Kiteto
 
Kaka unanibishia mim namili trector na mashamba songea hapo nmekutajia kw mashamba yanayolimwa kila mwaka lakn lakuanzisha tunalima kwa laki! Siongei kuptia makaratas mim nko sight
Du hongereni ongeza matreka,nchi nzima Bei kwa Heka ni kati ya elf 30 hadi 50 labda huko tretka zipo chache
 
Wanajukwaa mimi ni mmiliki wa trekta zaidi ya moja naomba kujua ni maeneo gani yanauhitaji mkubwa wa trekta wakati wa msimu wa kilimo na ni mwezi upi? Kama mtu Anauhitajika na trekta la kulima naomba aje inbox Chap..!!
Nenda kule Orkesumet (Simanjiro), Mkoa wa Manyara - utapata wateja wa kutosha wanaohitaji matrekta kwa ajili ya kilimo. Wenyeji wa kule wanapendelea sana trekta aina ya Swaraj. Nenda kule kafanye survey kwanza, hutojuta.
 
Back
Top Bottom