- Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Jamhuri alisema anachosema Nape, ndicho anachosema yeye, so! relax mkuu mimi ni Revolutionary na muumini mkubwa sana wa THE TRUTH, sasa kama sioni ukweli nitasema lakini so far ninamuamini sana Nape MAANA tuna share one vision, kama angejua kuwa hakuna mabadiliko asingekubali kushika ile nafasi, kama alivyowakatalia Mtandao in the beginning.
- Ufunguzi wa Tawi kama nilivyosema upo kwenye full speed, so karibu saana na mwendo wa kujivua, I am the man of my word nimewahakikishia media ya bongo waliponiuliza on that na pia ninaheshimu sana huu uwanja, so siwezi kuleta filimbi tupu hapa! Karibu sana ujiunge nasi!
- so far tunangalia viongozi wa muda wa tawi maana mimi binafsi sina haja ya kuongoza hili tawi naachia wengine maana nina mambo mengi sana ya kufanya, so muda wangu ni mdogo sana, kwa hiyo karibu sana mkuu!
William @ NYC, USA.
by William Malecela on Saturday, April 23, 2011 at 1:12am
@ NEW YORK: Kutokana na kujivua gamba KUJIVUA GAMBA hivi karibuni, Nimeamua kukiunga mkono chama changu CCM kwa KUANZISHA RASMI TAWI LAKE HAPA New York City na vitongoji vyake. NINAWASILIANA NA CCM MAKAO MAKUU DODOMA ili kupata maelekezo ya kanuni za kufungua Tawi nje ya nchi. NINAWAKARIBISHA SANA wale wote wenye nia njema na taifa letu kama mimi, ili tushirikiane kukisaidia mawazo chama chetu NYUMBANI tokea ughaibuni, kwenye kuelekea KUJIVUA GAMBA ZAIDI KWA MANUFAA YA TAIFA LETU.
- NITAENDELEA KUWAFAHAMISHA ZAIDI MAENDELEO YA KUELEKEA KULIFUNGUA TAWI HILI LA CCM, NEW YORK CITY; NITAFANYA KIKAO HIVI KARIBUNI SANA CHA KUWEKA MSINGI WA CHAMA NA KUCHAGUA VIONGOZI WA MUDA, MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
- IDUMU CCM NA KUJIVUA GAMBA; IDUMU TANZANIA!
William Malecela - COMMUNITY ORGANIZER (CO).
Wapuuzi sana nyie. Mnatumia majina ya baba zenu kujinufaisha. Siku zenu zinahesabika
Duh!Mkuu,
Inasikitisha kuona kwamba nchi hii sasa imekuwa ya familia za waliowahi kutawala au kuwa sehemu muhimu serikalini. Yalitokea Libya kwa Rais Gadaf hayako mbali kwetu hapa Tanzania. Endeleeni kuwafanya Watanzania hanazo.
Nah! Nah! People ninawasikia sana, Nilisema huko nyuma na ninasema tena kwamba Magamba yatavulika alianza Rostam, na waliobaki nao watajivua tu hawana jinsi. I trust Mh. Nape, kuna habari za Magazeti ya Lowassa na ukweli ulioko huko ndani vitu viwili tofauti. Otherwise, tumejipanga vizuri sana na Viongozi wa muda walishachaguliwa, I mean haya maneno ya personal ndio kawaida yetu wabongo kukwepa hoja na kujadili majina CCM is Bigger than hawa Magamba wawili waliobaki ambao watajivua tu, I understand kwamba wamenunua media yote, lakini hawajatununua wananchi wote. Sio siri kwamba kuna walioko kwenye payroll ya Lowassa hapa, well nawaomba muelewe kwamba mnapoteza muda bure hawezi kuwa Rais wa Tanzania! - Willam Le Mutuz@ NYC,USA.
Kwenye bold,nadhani they are bigger than the party,wameshaprove hilo,at least kwasasa mkuu,hilo ukubali.Nah! Nah! People ninawasikia sana, Nilisema huko nyuma na ninasema tena kwamba Magamba yatavulika alianza Rostam, na waliobaki nao watajivua tu hawana jinsi. I trust Mh. Nape, kuna habari za Magazeti ya Lowassa na ukweli ulioko huko ndani vitu viwili tofauti. Otherwise, tumejipanga vizuri sana na Viongozi wa muda walishachaguliwa, I mean haya maneno ya personal ndio kawaida yetu wabongo kukwepa hoja na kujadili majina CCM is Bigger than hawa Magamba wawili waliobaki ambao watajivua tu, I understand kwamba wamenunua media yote, lakini hawajatununua wananchi wote. Sio siri kwamba kuna walioko kwenye payroll ya Lowassa hapa, well nawaomba muelewe kwamba mnapoteza muda bure hawezi kuwa Rais wa Tanzania! - Willam Le Mutuz@ NYC,USA.
Mushi unaongelea habari za magazeti ya Lowassa angekuwa bigger than CCM basi angekuwa bado Waziri Mkuu na Chenge angekuwa bado Waziri ni Common Sense zaidi kuliko politics za kununua media ! - William