Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

Well, ukitaka kuua Nyoka anza na Kichwa, alianza mapema Rostam kichwa chao waliobaki na wao wataondoka tu hatukutegemea kuwa rahisi tulijua watajaribu kila njia nasikia very recently wamemnunua My very Dear Friend wa gazeti moja kwa Shillingi Millioni 100, bado siamini! People wote tunataka Ukombozi sasa nyie uleteni from Upinzani na sisi wengine tutauleta from within CCM. - William
 
una maana yule mwenye ku2mia macho ya pili kuona? Dah! Kwa hakika wa2 wanautaka uraisi kwa mbinu zote!
 
Mkuu W J Malecela.

Mkuu hata mimi nasikia Mwanahalisi limenunuliwa na Laigwanani Mkuu wa EAC nikajisemea kweli fedha sabuni ya roho hata Kubenea niliyemwamini ni mpiganaji wa ukweli kalamba mkwanja!.

Well, ukitaka kuua Nyoka anza na Kichwa, alianza mapema Rostam kichwa chao waliobaki na wao wataondoka tu hatukutegemea kuwa rahisi tulijua watajaribu kila njia nasikia very recently wamemnunua My very Dear Friend wa gazeti moja kwa Shillingi Millioni 100, bado siamini! People wote tunataka Ukombozi sasa nyie uleteni from Upinzani na sisi wengine tutauleta from within CCM. - William
 
Mushi unaongelea habari za magazeti ya Lowassa angekuwa bigger than CCM basi angekuwa bado Waziri Mkuu na Chenge angekuwa bado Waziri ni Common Sense zaidi kuliko politics za kununua media ! - William

Sawa mkuu,nitakubali tu gamba likivuka,otherwise ni kweli wana nguvu kuliko chama na Mwenyekiti changanyaa!
 
Mkuu achana na W.J.Malecela kwasababu kinachoendelea ndani ya CCM kila mtu mwenye akili anaona. Siyo tu issue ya magamba ni kwamba CCM yote imechoka mbaya kama siyo kuwa na dola ingekua kama tunavyowaona UDP,TLP na vyama vingine vidogo.
 
Nah! Nah! People ninawasikia sana, Nilisema huko nyuma na ninasema tena kwamba Magamba yatavulika alianza Rostam, na waliobaki nao watajivua tu hawana jinsi. I trust Mh. Nape, kuna habari za Magazeti ya Lowassa na ukweli ulioko huko ndani vitu viwili tofauti. Otherwise, tumejipanga vizuri sana na Viongozi wa muda walishachaguliwa, I mean haya maneno ya personal ndio kawaida yetu wabongo kukwepa hoja na kujadili majina CCM is Bigger than hawa Magamba wawili waliobaki ambao watajivua tu, I understand kwamba wamenunua media yote, lakini hawajatununua wananchi wote. Sio siri kwamba kuna walioko kwenye payroll ya Lowassa hapa, well nawaomba muelewe kwamba mnapoteza muda bure hawezi kuwa Rais wa Tanzania! - Willam Le Mutuz@ NYC,USA.

Hivi ndugu yangu William unaweza kweli kusimama kwa kujiamini na kusema magamba ya CCM ni watu wawili tu na ukiwaondoa hao basi tatizo limeisha? Kama huu ndio mtazamo wa viongozi pia basi nina wasiwasi na uwezo wa kutafakari na kuchambua mambo wa hao jamaa. Kimsingi simuungi mkono Lowassa na siamini kama anaweza kuwa rais mzuri ila siamini kama yeye na Chenge ndiyo walioshika turufu ya mustakabali wa chama. Kwa mtazamo wangu gamba linalotakiwa kuondolewa kwenye chama ni mfumo unaowaingiza, kuwalea na hatimaye kuwawezesha mafisadi kukamata nafasi za juu za uongozi wa taifa. Hii ni muhimu kwa sababu kuna akina Lowassa na Chenge wengi tu wanaosubiri fursa ya wao pia kuingia na kuendeleza ufisadi kwa nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi.
 
- Matatizo ya kisiasa huwa mara nyingi ni Symbolisms zaidi, sasa ukiondoa mafisadi wakubwa wadogo watajifia wenyewe na kukisafisha chama, huku ukiongeza nguvu kwenye utawala wa heshima kwa sheria, ambalo ndio hasa tatizo letu kubwa bongo, So wakiondoka hao wawili tutakuwa kwenye mstari mzuri sana kuelekea kwenye Respect kwa The Rule of Law!

William @...NYC, USA: Le Baharia!

by william malecela on saturday, april 23, 2011 at 1:12am

@ new york: Kutokana na kujivua gamba kujivua gamba hivi karibuni, nimeamua kukiunga mkono chama changu ccm kwa kuanzisha rasmi tawi lake hapa new york city na vitongoji vyake. Ninawasiliana na ccm makao makuu dodoma ili kupata maelekezo ya kanuni za kufungua tawi nje ya nchi. Ninawakaribisha sana wale wote wenye nia njema na taifa letu kama mimi, ili tushirikiane kukisaidia mawazo chama chetu nyumbani tokea ughaibuni, kwenye kuelekea kujivua gamba zaidi kwa manufaa ya taifa letu.
- nitaendelea kuwafahamisha zaidi maendeleo ya kuelekea kulifungua tawi hili la ccm, new york city; nitafanya kikao hivi karibuni sana cha kuweka msingi wa chama na kuchagua viongozi wa muda, mungu aibariki tanzania!

- idumu ccm na kujivua gamba; idumu tanzania!

William malecela - community organizer (co).

ulaaniwe ww na kizazi chako
 
Nah! Nah! People ninawasikia sana, Nilisema huko nyuma na ninasema tena kwamba Magamba yatavulika alianza Rostam, na waliobaki nao watajivua tu hawana jinsi. I trust Mh. Nape, kuna habari za Magazeti ya Lowassa na ukweli ulioko huko ndani vitu viwili tofauti. Otherwise, tumejipanga vizuri sana na Viongozi wa muda walishachaguliwa, I mean haya maneno ya personal ndio kawaida yetu wabongo kukwepa hoja na kujadili majina CCM is Bigger than hawa Magamba wawili waliobaki ambao watajivua tu, I understand kwamba wamenunua media yote, lakini hawajatununua wananchi wote. Sio siri kwamba kuna walioko kwenye payroll ya Lowassa hapa, well nawaomba muelewe kwamba mnapoteza muda bure hawezi kuwa Rais wa Tanzania! - Willam Le Mutuz@ NYC,USA.

Hongera kwa kufungua tawi; nakubaliana na wewe Lowasa na uraisi hapana ila hapa kwenye gamba bado ni kitendawili, waliolivaa gamba mwenyekiti naye yumo kinachofanyika ni kumtaka Lowasa na Chenge wajiuzulu ili kuficha aibu ya mwenyekiti, vinginevyo kashfa inaweza hata kuhatarisha uraisi wake; jiulize ni kwanini mwenyekiti anambana katibu mwenezi? kwa manufaa ya chama au kikundi cha watu wachache, je ni kwanini mwenyekiti alimpa nafasi Lowasa nafasi ya kuongea na hakutoa nafasi kwa wajumbe wengine kuchangia?

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Chama kwa nini mnapenda kumu-underestimate Mwenyekiti wa CCM wakati results za vita vyake na magamba zipo wazi! I mean kwa nini Lowassa sio Waziri Mkuu? Kwa nini sio Makamu wa CCM? Na kwa nini Rostam amejivua? I mean sawa Speed inayotumika sio tunayoitaka lakini it is what we have! Again wote tunataka Ukombozi nyie Uleteni from Upinzani na sisi wengine tutauleta from within CCM! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! - William
 
Unakwenda kufungua tawi jipya au unataka upate kura kwenye EAC? Huko kudanganya watu ili upate kazi ya ubunge,. Kwanini umekimbia NY? Hutaki kulipa Child Support halafu unajidai matawi ya CCM. Kwanini hujivui gamba kwanza wewe? Tunza familia yako kwanza kabla ya kujidai unaipenda Tanzania/CCM. Miaka yote ulivyokua huna matatizo ya kifamilia Tanzania ilikua mbali sana sasa hivi umeona NY hakukaliki unaanza kudanganya watu. Nyie mnaojita CCM wote ni njaa tu na wote ni mafisadi wakubwa..:cool2:
 
by William Malecela on Saturday, April 23, 2011 at 1:12am

@ NEW YORK: Kutokana na kujivua gamba KUJIVUA GAMBA hivi karibuni, Nimeamua kukiunga mkono chama changu CCM kwa KUANZISHA RASMI TAWI LAKE HAPA New York City na vitongoji vyake. NINAWASILIANA NA CCM MAKAO MAKUU DODOMA ili kupata maelekezo ya kanuni za kufungua Tawi nje ya nchi. NINAWAKARIBISHA SANA wale wote wenye nia njema na taifa letu kama mimi, ili tushirikiane kukisaidia mawazo chama chetu NYUMBANI tokea ughaibuni, kwenye kuelekea KUJIVUA GAMBA ZAIDI KWA MANUFAA YA TAIFA LETU.
- NITAENDELEA KUWAFAHAMISHA ZAIDI MAENDELEO YA KUELEKEA KULIFUNGUA TAWI HILI LA CCM, NEW YORK CITY; NITAFANYA KIKAO HIVI KARIBUNI SANA CHA KUWEKA MSINGI WA CHAMA NA KUCHAGUA VIONGOZI WA MUDA, MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

- IDUMU CCM NA KUJIVUA GAMBA; IDUMU TANZANIA!

William Malecela - COMMUNITY ORGANIZER (CO).

Willy,

I like you and respect you, much like most people here at JF (and I am not even CCM). Lakini unapotumia lugha ya "kujiviua gamba" unajifananisha na wale wanaojifanya wanajivua gamba hapa Bongo. You have shown serious bravery in the way you present yourself and the fact that you make statements without fear shows some of us that you may be cut from a different cloth. Stick with it my friend and we will give you the support you deserve. Usijiingize kwenye issue ya magamba. Most Tanzanians now know what's up!
 
mbwembwe zote kumbe ilikuwa namna ya kutafuta kula. Njaa kitu kibaya sana,ukitaka kuwa na msimamo inabidi uwe na pa kula.
 
- Wakuu tupo pamoja sana tunaendelea kusikiliza tupo wakuu, tunawasikiliza kwa makini sana, so far so good!

- Tupo ukurasa mmoja so far!
Wiliam ungana na hawa hapa chini ndio mpo kwenye category moja kwani ndio mlio faidi kodi na madini yetu sana
nape moses nnauye
januari makamba
rizwani kikwete
husein mwinyi
wilium malecela
makongoro nyerere
adam kigoma malima
Abeid karume
Na wenzako wengine ambao baba zao walikuwa katibu wakuu

Chama kwa nini mnapenda kumu-underestimate Mwenyekiti wa CCM wakati results za vita vyake na magamba zipo wazi! I mean kwa nini Lowassa sio Waziri Mkuu? Kwa nini sio Makamu wa CCM? Na kwa nini Rostam amejivua? I mean sawa Speed inayotumika sio tunayoitaka lakini it is what we have! Again wote tunataka Ukombozi nyie Uleteni from Upinzani na sisi wengine tutauleta from within CCM! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! - William
Kwanini utumie njia aliyo tumia baba yako ambayo ni CCM Kwanini na wewe usiwe upinzani? huwezi kwasababu mnarisisha kama usultani
 
by William Malecela on Saturday, April 23, 2011 at 1:12am

@ NEW YORK: Kutokana na kujivua gamba KUJIVUA GAMBA hivi karibuni, Nimeamua kukiunga mkono chama changu CCM kwa KUANZISHA RASMI TAWI LAKE HAPA New York City na vitongoji vyake. NINAWASILIANA NA CCM MAKAO MAKUU DODOMA ili kupata maelekezo ya kanuni za kufungua Tawi nje ya nchi. NINAWAKARIBISHA SANA wale wote wenye nia njema na taifa letu kama mimi, ili tushirikiane kukisaidia mawazo chama chetu NYUMBANI tokea ughaibuni, kwenye kuelekea KUJIVUA GAMBA ZAIDI KWA MANUFAA YA TAIFA LETU.
- NITAENDELEA KUWAFAHAMISHA ZAIDI MAENDELEO YA KUELEKEA KULIFUNGUA TAWI HILI LA CCM, NEW YORK CITY; NITAFANYA KIKAO HIVI KARIBUNI SANA CHA KUWEKA MSINGI WA CHAMA NA KUCHAGUA VIONGOZI WA MUDA, MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

- IDUMU CCM NA KUJIVUA GAMBA; IDUMU TANZANIA!

William Malecela - COMMUNITY ORGANIZER (CO).

Gamba limegoma kuvuliwa!
 
Hizi ndizo familia zinazoitafuna nchi, familia zilizobarikiwa Tanzania
nape moses nnauye
januari makamba
rizwani kikwete
husein mwinyi
wilium malecela
makongoro nyerere
adam kigoma malima
..........................
..........................
............................
nk

sie ambao jamaa zetu hawakuwahi kuwemo kwenye system, walahi zama hizi tutajibeba!!

kila la heri mkuu, kuna kila dalili kuwa utafaniliwa kufikia azma yako!
 
Back
Top Bottom