Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

- Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Jamhuri alisema anachosema Nape, ndicho anachosema yeye, so! relax mkuu mimi ni Revolutionary na muumini mkubwa sana wa THE TRUTH, sasa kama sioni ukweli nitasema lakini so far ninamuamini sana Nape MAANA tuna share one vision, kama angejua kuwa hakuna mabadiliko asingekubali kushika ile nafasi, kama alivyowakatalia Mtandao in the beginning.

- Ufunguzi wa Tawi kama nilivyosema upo kwenye full speed, so karibu saana na mwendo wa kujivua, I am the man of my word nimewahakikishia media ya bongo waliponiuliza on that na pia ninaheshimu sana huu uwanja, so siwezi kuleta filimbi tupu hapa! Karibu sana ujiunge nasi!

- so far tunangalia viongozi wa muda wa tawi maana mimi binafsi sina haja ya kuongoza hili tawi naachia wengine maana nina mambo mengi sana ya kufanya, so muda wangu ni mdogo sana, kwa hiyo karibu sana mkuu!

William @ NYC, USA.

Stay tuned
 
Ndugu yangu Malecela itakula kwako hata mimi nipo America. Kwa exposure yako dont dare to think of such bound to failure project
 
Thread hii imerudishwa ili kumsuta Bwana William? Si rahisi kumvua gamba mtu wakati wewe mwenyewe umelivaa hilo tulishalielewa tangu awali, kinachofanyika ni usanii wa kuwalaghai wanaccm.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
by William Malecela on Saturday, April 23, 2011 at 1:12am

@ NEW YORK: Kutokana na kujivua gamba KUJIVUA GAMBA hivi karibuni, Nimeamua kukiunga mkono chama changu CCM kwa KUANZISHA RASMI TAWI LAKE HAPA New York City na vitongoji vyake. NINAWASILIANA NA CCM MAKAO MAKUU DODOMA ili kupata maelekezo ya kanuni za kufungua Tawi nje ya nchi. NINAWAKARIBISHA SANA wale wote wenye nia njema na taifa letu kama mimi, ili tushirikiane kukisaidia mawazo chama chetu NYUMBANI tokea ughaibuni, kwenye kuelekea KUJIVUA GAMBA ZAIDI KWA MANUFAA YA TAIFA LETU.
- NITAENDELEA KUWAFAHAMISHA ZAIDI MAENDELEO YA KUELEKEA KULIFUNGUA TAWI HILI LA CCM, NEW YORK CITY; NITAFANYA KIKAO HIVI KARIBUNI SANA CHA KUWEKA MSINGI WA CHAMA NA KUCHAGUA VIONGOZI WA MUDA, MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

- IDUMU CCM NA KUJIVUA GAMBA; IDUMU TANZANIA!

William Malecela - COMMUNITY ORGANIZER (CO).

Kumbe na New York mnajivua magamba ndugu yangu. Mimi nilidhani magamba yako huku bongo tu kumbe yameshavuka mipaka mpaka huko? Huku wanafisidi kodi za wananchi je huko New York mnafisidi nini? Au ni huu mfereji wa huku ndio unafika mpaka huko? Kwa bahati mbaya magamba ya huku yameshindikana kuvukika; hawakujua mapema kuwa haya magamba yameunganika na mwili wa Chama na huwezi kuyavua isipokuwa kwa operesheni maalum ambayo inaweza kabisa kukiua chama chenyewe kama isipofanywa kwa makini. Wamegundua hivi karibuni kuwa madaktari wawili waliokabidhiwa kuondoa magamba walikuwa vihiyo na sasa hao madaktari wako kwenye hatihati ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu.
 
Mkuu,
Inasikitisha kuona kwamba nchi hii sasa imekuwa ya familia za waliowahi kutawala au kuwa sehemu muhimu serikalini. Yalitokea Libya kwa Rais Gadaf hayako mbali kwetu hapa Tanzania. Endeleeni kuwafanya Watanzania hanazo.
 
Wapuuzi sana nyie. Mnatumia majina ya baba zenu kujinufaisha. Siku zenu zinahesabika

Eisten.

He who joyfully marches to music in rank and file has already earned my contempt. He has been given a large brain by mistake, since for him the spinal cord would suffice.
Albert Einstein .Endelea kula raha tu nduguyangu kwa kodi zetu sisi maskini, ila ujue huku nyumbani serikari ya chama chako, inafanya mambo ambayo hata shetani hana hizo rekodi. Bila shaka unajua kuwa chenye mwanzo kina mwisho. Endelea kura raha kijana.
 
Unashangili kujivua gamba wakati hata babb yako ni gamba, umefika huko usa kwa mtaji wa kigamba. Huna haya hata kidogo wewe mtoto
 
hahaha! mzee wa propaganda! leo utakuja na jipya lipi? chama kimeoza na kwisha! endelea kusubiri kuvuana magamba!
 
Mkuu,
Inasikitisha kuona kwamba nchi hii sasa imekuwa ya familia za waliowahi kutawala au kuwa sehemu muhimu serikalini. Yalitokea Libya kwa Rais Gadaf hayako mbali kwetu hapa Tanzania. Endeleeni kuwafanya Watanzania hanazo.
Duh!

Mods wangeweka option ya ku i "like" avatar!

avatar60600_1.gif

Back to the point...Hapa ni kweli wakuu waliingizwa choo cha kina dada.
 
Nah! Nah! People ninawasikia sana, Nilisema huko nyuma na ninasema tena kwamba Magamba yatavulika alianza Rostam, na waliobaki nao watajivua tu hawana jinsi. I trust Mh. Nape, kuna habari za Magazeti ya Lowassa na ukweli ulioko huko ndani vitu viwili tofauti. Otherwise, tumejipanga vizuri sana na Viongozi wa muda walishachaguliwa, I mean haya maneno ya personal ndio kawaida yetu wabongo kukwepa hoja na kujadili majina CCM is Bigger than hawa Magamba wawili waliobaki ambao watajivua tu, I understand kwamba wamenunua media yote, lakini hawajatununua wananchi wote. Sio siri kwamba kuna walioko kwenye payroll ya Lowassa hapa, well nawaomba muelewe kwamba mnapoteza muda bure hawezi kuwa Rais wa Tanzania! - Willam Le Mutuz@ NYC,USA.
 
bahati mbaya kwa ccm ni kwamba the so called moronic plebiscite voters are rapidly vanishing. isipokuwa kama mnazaliana kama mende, your kiddos will vote for the crap ccm in the future, otherwise, tafuteni pa kujificha au mjiandae kutawala kwa kuchinja wanaowapinga.
 
Madongo yana mtosha jamanii..labda ameoga hafanani na hao baba zake...Naomba mumsitiri kama hajui yaliyomapata Gadhafi na wanawe siku ilipofika aendelee kuleta mzaha na watu waliokisha jichokea maisha hapa..!!Eti anatutambia yupo NEW YORK...Maavii...kwa kodi zetu halafu..!!!
 
Nickxiyo vipi mkuu kwema huko? Maana ukiona mtumzima kama wewe anaongea hiyo lugha yako ya kujivua nguo hadharani ujue kuna sababu nyingi sana! Ha! Ha! Can we talk policies badala ya personalities! Ha! Ha! - William
 
Nah! Nah! People ninawasikia sana, Nilisema huko nyuma na ninasema tena kwamba Magamba yatavulika alianza Rostam, na waliobaki nao watajivua tu hawana jinsi. I trust Mh. Nape, kuna habari za Magazeti ya Lowassa na ukweli ulioko huko ndani vitu viwili tofauti. Otherwise, tumejipanga vizuri sana na Viongozi wa muda walishachaguliwa, I mean haya maneno ya personal ndio kawaida yetu wabongo kukwepa hoja na kujadili majina CCM is Bigger than hawa Magamba wawili waliobaki ambao watajivua tu, I understand kwamba wamenunua media yote, lakini hawajatununua wananchi wote. Sio siri kwamba kuna walioko kwenye payroll ya Lowassa hapa, well nawaomba muelewe kwamba mnapoteza muda bure hawezi kuwa Rais wa Tanzania! - Willam Le Mutuz@ NYC,USA.
Kwenye bold,nadhani they are bigger than the party,wameshaprove hilo,at least kwasasa mkuu,hilo ukubali.

Otherwise kuwa watajivua ni swala ambalo ni "Mpaka iwe hivyo" Ndo tunaweza kusema hivyo...

Nape is nothing compare to hizo gamba mbili mkuu...

Hizo level yao ni mwenyekiti wenu ambaye naye kagwaya,nani mwingine?

Ndo ukweli huo kamanda hata kama unauma.
 
Mushi unaongelea habari za magazeti ya Lowassa angekuwa bigger than CCM basi angekuwa bado Waziri Mkuu na Chenge angekuwa bado Waziri ni Common Sense zaidi kuliko politics za kununua media ! - William
 
tuliambiwa gamba litajadiliwa kivingine. na kama hii ndiyo namna yenyewe basi watangazieni watu kwamba hamjawahi kuwa na kitu kama hicho. watawaelewa tu, hasa mkiwapa chimpumu.
 
Back
Top Bottom