Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Kuna kale kamsemo "ukifwata ya tembo utapasuka msamba"!
Alimserema alija, akija kaburu chinja tupa. Mchakamchaka, chinja!Kaburu matata hiyaaaaaa, hiyaaaa!
Alimserema alija, akija kaburu chinja tupa. Mchakamchaka, chinja!
Ulimwengu wa sasa si wa enzi zile izo ninbit tuu battle ikianza apa unaweza sahau izo nyimbo
Usiombe kupigana na taifa ambalo full technologia
Ila in one way or the other zinatia hamasa
Alimserema alija, akija kaburu chinja tupa. Mchakamchaka, chinja!