Kujitayarisha kuwachapa wamalawi!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Kuna kale kamsemo "ukifwata ya tembo utapasuka msamba"!

564349_468690109831255_1748014882_n.jpg
 
Ulimwengu wa sasa si wa enzi zile izo ninbit tuu battle ikianza apa unaweza sahau izo nyimbo
Usiombe kupigana na taifa ambalo full technologia
Ila in one way or the other zinatia hamasa
 
usilete utani, hapo ikipita jet fighter moja tu hao wote watakuwa wanawaongoza wanawake na watoto katika kukimbia
 
Hao ni askari wa GSU (General Service Unit) wa jeshi la Polisi Kenya sawa na FFU kwetu wakati wakimaliza mafunzo (pass out).

Hata hao wenye full teknologia physical fittnes ni muhimu kuliko maelezo.

Bazazi!
 
Ulimwengu wa sasa si wa enzi zile izo ninbit tuu battle ikianza apa unaweza sahau izo nyimbo
Usiombe kupigana na taifa ambalo full technologia
Ila in one way or the other zinatia hamasa

Yes technologia ni muhimu sana. Lakini kwa suala la jeshi ukakamavu ni muhimu sana. Kila kifaa cha kivita kinahitaji mwanajeshi mkakamavu. Idd Amin alikuwa na vifaa vya hali ya juu sana kwa wakati ule ukilinganisha na jeshi letu,lakini tukamchapa vizuri tu.
 
Back
Top Bottom