Tukumbuke pia Simba waliwahi kuchangishwa fedha za kujenga uwanja.

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki ya kufahamu kinachoendelea.

Kwa mtu anayefikiri vizuri hapa tiyari utajua kosa la Simba lipo wapi shida ya Simba sio wachezaji shida ya simba ni pale juu na wameshawafahmu mashabiki wao wanataka nini, kifupi mashabiki wa Simba wanapenda propaganda sana kuliko uhalisia, Leo wanapiga kelele kisa wamekula goli tano kutoka kwa Yanga ikimaanisha kama wangeshinda wao tusingesikia huu uchafu wao mara hatumtaki Mangungu na Try again wakati kiuhalisia hawa wapo pale kulinda maslahi ya bosi wao MO.

Ni wakati wa Simba kuacha propaganda na kufwata misingi ya soka la kisasa, soka ni sayansi soka halina short cut ukifwata short cut utawin kwa miezi kadhaa ila ipo siku tu yatakukuta tu kama jumapili yalivyowakuta Simba na kufahamu nyumba yao ni wapi panavuja.

Umefika muda sahihi mashabiki wa Simba kuulizia fedha zao za kiwanja na je kuna hata vifusi vipo site au kuna mkandarasi anaendelea na ujenzi ? Dunia ya leo unapokea michango ya ujezi wa uwanja kupitia namba za simu za watu binafsi bado tunasafari ndefu na yale yalikua maamuzi ya kukurupuka kwa viongozi wa simba na kupiga fedha za mashabiki wao.

Hakuna uwanja wa mpira unajengwa kwa mbinu walizokua wanataka kutumia Simba never ever au kama Simba wataweza kujenga kwa kutumia hiyo approach yao hakika wanahitaji tuzo.

Roma ikisema imesema..
 
Yani mishafungwa na Yanga ndo mnakumbuka kila kitu? Nafikiri simba wafukuze mashabiki waanze upya.
 
Ambao hamwataki Simba hawaondoki, huo ndo ukweli mchungu.

Labda mchukue maamuzi ya busara mrudi Jangwani (Yanga for life 💚) au mbanane huko huko kishingo upande

"Na huu mwaka mna safari ndefu mno
 
Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki ya kufahamu kinachoendelea.

Kwa mtu anayefikiri vizuri hapa tiyari utajua kosa la Simba lipo wapi shida ya Simba sio wachezaji shida ya simba ni pale juu na wameshawafahmu mashabiki wao wanataka nini, kifupi mashabiki wa Simba wanapenda propaganda sana kuliko uhalisia, Leo wanapiga kelele kisa wamekula goli tano kutoka kwa Yanga ikimaanisha kama wangeshinda wao tusingesikia huu uchafu wao mara hatumtaki Mangungu na Try again wakati kiuhalisia hawa wapo pale kulinda maslahi ya bosi wao MO.

Ni wakati wa Simba kuacha propaganda na kufwata misingi ya soka la kisasa, soka ni sayansi soka halina short cut ukifwata short cut utawin kwa miezi kadhaa ila ipo siku tu yatakukuta tu kama jumapili yalivyowakuta Simba na kufahamu nyumba yao ni wapi panavuja.

Umefika muda sahihi mashabiki wa Simba kuulizia fedha zao za kiwanja na je kuna hata vifusi vipo site au kuna mkandarasi anaendelea na ujenzi ? Dunia ya leo unapokea michango ya ujezi wa uwanja kupitia namba za simu za watu binafsi bado tunasafari ndefu na yale yalikua maamuzi ya kukurupuka kwa viongozi wa simba na kupiga fedha za mashabiki wao.

Hakuna uwanja wa mpira unajengwa kwa mbinu walizokua wanataka kutumia Simba never ever au kama Simba wataweza kujenga kwa kutumia hiyo approach yao hakika wanahitaji tuzo.

Roma ikisema imesema..
Simba wanavisingizio lukuki kila uchwao wanaibuka na kituko kingine, (kisingizio kingine) wanaendesha timu kwa propaganda
 
Back
Top Bottom