Uhamiaji oyeeee!
Wana Depotive La CorunaKumbe uhamiaji nao wana depo?,na TPDF sasa wana nn?
Kumbe uhamiaji nao wana depo?,na TPDF sasa wana nn?
Wana Depotive La Coruna
Koplo na Kostebo uchambuzi tayari what they do now ni kwamba wanachapa majina ya watu walokuwa shortlisted, kwa wale wa Assistant inspector of immigration services yale tayari yapo kene softcopy so wanasubiri wamalize kuchapa ya hao makoplo na makostebo the kitu hewaniii, very soooooooon. Source Kibosile mmoja wa uhamiaji Makao makuu DSM.Whats up ndugu zangu,naomba atakae pata taarifa za kuitwa kwenye usaili uhamiaji mapema anitaarifu, thanks brothers & sisters
Daah jukwaa hili watu wake ni full mastress.
maboya hao watakuwa wana dengeua inawasumbua
ila mungu naye sometime ujiangalie naye maana naye kuna majaribu mengine uwezi hamini. muulize AYUBU wa kwenye Biblia akupe shida aliyoipata kwa kutegemea mungu ingawa mwishowe alifanikiwaCha msingi ni maombi mungu afungue njia jina liwe shortlisted