Kuitwa kwenye usaili uhamiaji-koplo & kontebo

Ndo walisema barua ziandikwe kwa mkurugenz uamiaji.mwisho ni tar.14 mwez wa 4.hope kupitia barua utakayoandika,ukiweka anwani na namba za simu.KAMA WANANIA NA WEWE WATAKUTAFUTA.WASIPOKUJULISHA UJUE UMECHINJIWA BAHARINI.
 
Hey hapa ni sehem ambapo watu weng wanapata na kutoa taarifa,acheni ujinga nyie mnaoandka upuuz wenu hapa kama co wasomi bana..
 
Whats up ndugu zangu,naomba atakae pata taarifa za kuitwa kwenye usaili uhamiaji mapema anitaarifu, thanks brothers & sisters
Koplo na Kostebo uchambuzi tayari what they do now ni kwamba wanachapa majina ya watu walokuwa shortlisted, kwa wale wa Assistant inspector of immigration services yale tayari yapo kene softcopy so wanasubiri wamalize kuchapa ya hao makoplo na makostebo the kitu hewaniii, very soooooooon. Source Kibosile mmoja wa uhamiaji Makao makuu DSM.
 
Cha msingi ni maombi mungu afungue njia jina liwe shortlisted
ila mungu naye sometime ujiangalie naye maana naye kuna majaribu mengine uwezi hamini. muulize AYUBU wa kwenye Biblia akupe shida aliyoipata kwa kutegemea mungu ingawa mwishowe alifanikiwa
 
Habari zenu?......
Nafasi za kazi (Kontebo/Koplo) wa Uhamiaji.
majina tunatoa kesho, vyanzo vya kuwahabarisha ni kama vya mwanzo,,,,,Magazeti na Tovuti yetu, lakini pia majina yatabandikwa kwenye mbao za matangazo za ofisi zetu zote!!! Tanzania bara na Visiwani.
nawatakia kila la kheri ndugu.
AFISA UHUSIANO-IDARA YA UHAMIAJI,
MAKAO MAKUU.
 
Back
Top Bottom