Mkeka walioitwa kwenye usaili uhamiaji tarehe 28 Januari 2023

Voice of Tanzania

JF-Expert Member
Sep 23, 2018
1,638
2,461
Orodha ya majina walioitwa kwenye usaili wa ajira konstebo 500 haya hapaaa Ndugu zangu
 

Attachments

  • KUITWA KWENYE USAILI MWAKA 2023 KONSTEBO 500.pdf
    705.2 KB · Views: 63
Nasikia kuna majina mengine eti hayo ni ya ngazi za juu.Kuna ukweli wowote hapa
Inawezekana kozi hapo wanangu siwaoni na walikia na vigezo adi vinafurumia cjui nn kimeangaliwa hapo yote kwa yote mtoa liziki mungu naisi aikuwa bahati kwao
 
Uhamiaji ni jipu sana waliotuma maombi ni wengi wao wanaita wachache...wametumia kigezo gani kukata watu!?!
si nasikia kuna mengine watatoa,,mimi nadhani itakua wameangalia gpa na huenda kuna wengine walichelewa kutuma kwa njia ya posta maombi hayakufika
 
Back
Top Bottom