MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Quick question dada zetu wa JF. Je is it disrespectful kuitwa demu? Je msichana akirefer kwa msichana mwingine kuwa ni demu? Nauliza maana kuna dada kaniambia halipendi kweli hilo neno na mimi mwanzo nilikua nadhani it is an acceptable slang. Kama it's disrespectful tuambieni tuji rekebishe.