Kuitana kaka ni kukosa confidence....

Switlady form2 umefika lini wakati juzi tu tumekuvalisha shada la kuhitimu la saba?
Yan nilivofika darasani walimu wakaniona nilivyo na maakili ikabidi wanivushe darasa...from form oneB to form twoB!
 
Kaka, mkuu, etc....sio mitandaoni tu hata katika mazungumzo ya kawaida tunaitana hivyo na mara nyingi haijalishi sana umri wala cheo. Kwa maoni yangu, ni kuonesha urafiki au politeness na sio kukosa kujiamini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom