Kuishi na mwanamke/mwanaume kinyumba bila na ndoa, hii style ya maisha inaitwaje?

Muulize dokta slaa anajua hiyo ndoa inaitwaje maana yeye yuko advanced kidogo anaishi na mke wa mtu ndani
 
hivi ndo dini zile zenye sheria kali..ukifa kama hujafunga ndoa hawakuziki..mhh kaazi kwelikweli
 
Habari wanaJf wazima wote?

Ningependa kuuliza je kuishi na mwanamke/mwanaume kinyumba mkiwa hamjafunga ndoa ya kidini/kimila.

Je, hii inahesabika ni ndoa au style hii ya maisha na inaitwaje?

Kuuliza so ujinga

Asante

style inaitwa kutorosha
 
Hiyo yaitwa Bokoharamu staili,si unajua wale jamaa hawajatoa mahari lakin.wanaish na mabinti huko mstuni!!
 
Back
Top Bottom