SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 5,186
- 7,996
- Thread starter
- #61
Kitambo sana sijasikia habari za Sudan zaidi ya kuona tu Al Hilal imehama na wale madaktari wanafunzi waliokimbilia TZ.Hahaha hapo mwisho..kashikashi wanazo wenyewe..hakuna media za magharibi za kupromot kashikash zao ndo maana hazisikiki..kama za ukanda wa gaza na Israele..
By the way hii kitu ina afya kweli? Any way ngoja tuone..muda si mrf vitazaliwa vitoto vya kisudani huko daslam...
Mara ya mwisho ni kama miaka 3 iliyopita kwenye zile kashkash za maandamano yaliyokuwa yanaongozwa na yule mdada kumuondoa Bashir. Nadhani jeshi lilizingua walipochukua madaraka, ni kama waliwatenga waandamanaji. Ile ndiyo ilikuwa mara ya mwisho kufuatilia au kusikia mambo ya ndani ya Sudan.