Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo yenye tija kwa ligi yetu.

Nakumbuka mwezi January nilishangaa kwa nini hawakujumuishwa katika mashindano yaliyopita ya Kombe la Mapinduzi wakati walikuwepo hapa hapa.

Pamoja na kwamba maelezo ya kina hayajatangazwa isipokuwa tumeambiwa matokeo ya mechi zao hayatajumuishwa katika msimamo wa ligi, ningeshauri pia ikiwezekana katika makubaliano yatakayofikiwa na Al Hilal, wachaguliwe vijana kadhaa, hata kama ni 3 walio katika vikosi vya taifa vya U-17 au U-20 na wawe tayari kuwaingiza katika kikosi chao kama sehemu ya vijana hao kupata mafunzo na uzoefu.

Big up sana kwa TFF kwa hili jambo. Kwenye hili mmeupiga mwingi.

Cha nyongeza, hivi hiyo vita ya Sudan mbona kama ipo kimya kimya sana maana sisikii kabisa kashkash zake?
shida pia ni hii,wanaweza kuwaumiza wachezaji wetu wa first 11 kwa makusudi
 
Haina maana kucheza ligi kuu.
 
Kujumuisha point zake ingekuwa ngumu maana ingebidi kubadili kanuni mbalimbali za ligi au kuwapa msamaha maalumu mfano kwenye issue ya idadi ya wachezaji wa kigeni. Pia ingeathiri utaratibu au idadi ya timu zinazotakiwa kupanda daraja kwa hiyo inawezekana wakaona mambo yasiwe mengi.

Mechi zao zitakuwa kama za kirafiki kwa hiyo nadhani hata ikitokea siku mechi imeahirishwa haitakuwa jambo kubwa. Pia nadhani wao Al Hilal ndiyo watakuwa wanasafiri sidhani kama timu zitakuwa zinasafiri kuifuata.

Al Hilal ni timu kubwa msiichukulie poa, sidhani kama tungehoji hivi kama ingekuwa ni Esperance au Al Ahly.
TFF wasije wakaruhusu huu ujinga. Hakuna sababu ya kuleta huo mkanganyiko kwenye ligi yetu.
 
Toa hoja acha blah blah..sasa ww hapo umeongea nini zaidi ya kuponda vijana wa mzee Rage? Sema neno tupone.. 😂
Kiufupi hilo ni jambo lisilowezekana. Na iwapo hiyo timu itajumuishwa kweli, basi tutegemee mvurugano mkubwa kwenye ligi yetu.
 
Kweli ndomana wao ndyo chanzo cha vita ya kwanza na ya pili ya dunia.....pia hata wale wanaouwa watoto kule hospital Ghaza ni waarabu
Hawa watu wamekua too much brainwashed,huwezi kuwaeleza kitu kuhusu wazungu ,yaani wanaona kama Miungu vile
 
Hahaha hapo mwisho..kashikashi wanazo wenyewe..hakuna media za magharibi za kupromot kashikash zao ndo maana hazisikiki..kama za ukanda wa gaza na Israele..
By the way hii kitu ina afya kweli? Any way ngoja tuone..muda si mrf vitazaliwa vitoto vya kisudani huko daslam...
Mmh, mbona wasomali na wasudan wanazaliwa kibao tu bongo hadi wengine ni waviongozi wakubwa serikalini hadi kwny michezo?

Hili hulijui, unaishi wapi kwani?
 
Hamna mkuu kuna jamii na jamii.
Mbona Qatar,Bahrain,UAE,Kuwait n.k watu wanaishi kistaarabu tu!?
Sema kuna baadhi ya jamii za kiarabu kama za Oman zina ushenzi mwingi.
Pia hawa waarabu wa Afrika ni waarabu koko ndio wanaoleta shida hata waarabu wenyewe wanawashangaa.
Itakua huo ukoko wao na kukosa exposure kunawavuruga...
 
Hao Al hilal wakija,wakutane na majini ya Yanga wataondoka kimya kimya kurudi kwao..😂
 
Kiufupi hilo ni jambo lisilowezekana. Na iwapo hiyo timu itajumuishwa kweli, basi tutegemee mvurugano mkubwa kwenye ligi yetu.
Kama watawaruhusu wawe washindani tu kwenye ligi na kuwania ubingwa, wao wanasema uwanja wao wa nyumbani utakuwa Benjamin Mkapa au Azam, sasa timu gani itoke kigoma,mbeya,kagera ije kucheza mechi ambayo point hamna?ni kuongeza tu gharama zisizo na maana kwenye vitimu vya ligi kuu
 
Back
Top Bottom