Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,119
Biashara ya utalii haiwezi kuimarika kama serikali haitokuwa na shirika la ndege imara.Ndio maana KQ waliamua kuungana na KLM.Usafiri wa ndege bado ni anasa. Waimarishe miundombinu ya barabara kwanza