Kuhusu Ndege Airbus Aliyoongelea Rais Magufuli

Mkuu kweli aisee tunaisubiria keki na habari nzuri majamaa yatakuwa retrenched
Aisee nimeiona hii habari na nimeipokea kwa mwili mzima maana mikono miwili isingetosha kwa furaha niliyo nayo. Ile keki icing sugar ndio zimeifika juzi...maandalizi yanaendelea vyema kwa kweli.
 
kuna siku watasema marubani hatuna kama kisingizio cha kutonunua ndege, kwamba rubani kukaa hotelini ni gharama, hivyo inabidi waeende mafunzo ya kuendesha ngege kwa miaka mitano .
 
Mbananisho umesema kutoka 150 hadi 180!!!! Haya maisha ya kuzoea daladala za Ubungo Kariakoo unayaleta hadi kwenye ndege!!!!
hahahahaa Bro hapa umeongea bonge la point,mimi pia nimeshangaa kwa mbananisho upi?kwanza mtoto tu wa over 2 yrs ana seat yake peke yake pia,kama ndege ina seat 150,eti wabananishwe hadi 180 maajabu kwa kweli
 
hahahahaa Bro hapa umeongea bonge la point,mimi pia nimeshangaa kwa mbananisho upi?kwanza mtoto tu wa over 2 yrs ana seat yake peke yake pia,kama ndege ina seat 150,eti wabananishwe hadi 180 maajabu kwa kweli
Watu wanadhani ndege ni kama daladala
 
Utakavyojua watanzania walivyokuwa wezi iweke sasa kwenye mpango wa manunuzi uone kitakachotokea.Kama haikuletwa ya mwaka 1979 (repaired)basi serikali itanunua kwa $250 million pesa nyingi zikijumuisha upembuzi yakinifu na posho za wataalamu.

Na safari kibao za kwenda kukagua
 
Kuna watu hii nchi wameifaidi sana bila jasho....!!
yaani kipindi cha mwinyi,mkapa na jk watu wamafaidi sana kwa kweli,unakumbuka vazi la uspika la Six lilishonwa london,ATC nao wanalipwa mishahara kwa ndege moja,ambayo hata haiko active
 
hahahahaa Bro hapa umeongea bonge la point,mimi pia nimeshangaa kwa mbananisho upi?kwanza mtoto tu wa over 2 yrs ana seat yake peke yake pia,kama ndege ina seat 150,eti wabananishwe hadi 180 maajabu kwa kweli
Kwi kwi kwi kwi kwi
 
yaani kipindi cha mwinyi,mkapa na jk watu wamafaidi sana kwa kweli,unakumbuka vazi la uspika la Six lilishonwa london,ATC nao wanalipwa mishahara kwa ndege moja,ambayo hata haiko active
Hapa Magufuli Ana kazi kubwa sana kupambana na watu hawa maana hawatakaa kimya nao watakuwa wanajipanga....!!!!
 
Kweli Magu apambane afufue hilo shirika. Kuna vijana wa kitanzania wapo wana uwezo wa kufanya mazuri. Mfano nilimkuta kijana wa makamo pale North Carolina anafanya kazi GE aircraft's ndio moja ya kichwa chao kwenye engine zao za ndege. Tunaweza kushawishi wazawa kama hao tukawalipa vizuri wakasaidia nchi yao. Akarudi nyumbani kuwa mkuu wa kitengo cha ufundi.
 
Mimi Ni UKAWA ila Namuunga Mkono Mh. Rais kununua ndege hizi, endapo serikali itaziagiza yenyewe bila kupitia kwa Agent najua bei hiyo itashuka sana na najua huwa kuna discount ikiwa nchi inanunua ndege Zaidi ya moja.

Mungu mbariki Mh. RAIS, wale wenye nia mbaya na Mh. Rais wetu uwaadhibu haraka na mapema Zaidi.
Salute kwako mkubwa! Kikubwa tusubiri vitendo since sometimes easy said than done!!!
 
Mkuu 90% ya wana JF ni wana ukawa tokea zamani, ila jf wanajielewa sana . Nyundo wanaiita nyundo na si msumeno, magu akifanya japo jema la maslahi tutakubali, nina uhakika huyu mbana matumizi hatatumia mawakala

a
'' Mkuu 90% ya wana JF ni wana ukawa tokea zamani'' ..nani wa zamani JF au ukawa?
 
Ndege saba halafu zipelekwe wapi kwa mazingira halisi ya kibiashara Kenya Airways despite having the support ya KLM inabidi wapunguze idadi ya ndege zao na majuzi tu wamekiri kampuni ipo on the verge of bankruptcy biashara hakuna kutokana na ushindani mkubwa wa kimataifa na hawa ndio wanavuna asilimia kubwa ya watalii wanaokuja EA hiyo Rwanda Air is becoming more like a subsidiary company ya Ethiopia Airline.

Unapotumia lazima uangalie hela inarudi vipi na kwa muda gani vinginevyo ni matumizi mabovu moja wapo ni hili Tanzania kununua ndege kwa malengo ya kwenda masafa is more of a pride than business sense. Watalii awaji Tanzania sio kwa sababu hakuna route za ndege bali kwa sababu the service sector is second to other similar destination, miundombinu yetu, risk assesment, attitude zetu na mambo mengi ya kibiashara ambayo yanataka ku meet expectations za watalii ambapo bado tuko nyuma hilo ndio tatizo sio ndege na wanaokuja ni kwakuwa sehemu zenyewe zinajiuza zenyewe tu kutokana na reputation yake duniani sio kwa sababu ya jitihada za TANAPA for the most part.

Hizi habari za ndege ni waste of tax payers money wakenya wao wanahangaika na kuboresha huduma kuvutia wawekezaji na mazingira rafiki ya kwenda Kenya ndege sio kigezo; sisi hadi leo wasaidizi wa mlima kilimanjaro tumeshindwa kuwapa appropriate gear na vifaa vya kileo mzungu akishindwa kupumua huko juu anashushwa mlimani na machela ya matairi ya baiskeli ya kienyeji tu. Mlima unavutia wapandaji 50,000 annually wala hakuna enough supporting service sector ya mahoteli ya hadhi halafu unataka habari za ndege.
 
Back
Top Bottom