UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,598
- 11,993
Ipo France au sijui imekodishwa tena nchi gani West Africa na wakati huo huo Tanzania tunaendelea kulipa hela za kuikodisha ,hii nchi imeoza acha tu jamaa awe mwendawazimu kuirudisha kwenye mstariHivi ATCL si wanazo zile Airbus mbili walizonunua, moja inalipiwa Parking zaidi ya miaka 5 kule france na nyengine sijui imetokomea wapi maana mara ya mwisho tulipata khabari kuwa ilikuwa kule Scandinavian countries ikifanyiwa repair baada ya kununua sio chini ya miaka mitano kule Jamaica?