Kuhusu Moses Phiri naomba nisiwe mnafiki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,238
103,912
Screenshot_20230807_064458_Samsung Internet.jpg

Screenshot_20230807_065347_Samsung Internet.jpg

Haya mambo ya kuzunguka zunguka hayafai kwa sababu muda unaenda kasi sana.
Siwezi kujifanya sijashtuka Phiri kukalia bench dakika 90. Ni uongo. Kila mtu kaona kikosi cha kwanza huku majembe mengine yakiwa pale bench. Baadae wakapewa nafasi wachezaji wa kawaida na wakali kama kina Ngoma. Halafu uone ni sawa tu Phiri kukalia bench. Kuna Wachezaji walishindwa kuonyesha kiwango toka robo ya kwanza ya kikosi lakini kocha hakumuona Phiri.

Tunasemaje..Phiri ndio aliyetupeleka makundi CAFCC msimu uliopita. Usiniambie kuhusu kiwango chake cha sasa kwa sababu ile ilikuwa mechi ya kutest mitambo. Sijasema ni bora kuliko wengine lakini anao uwezo wa kushindana na kushindania timu. Mambo ya hovyo kama haya ndio yanayosababisha kocha apangiwe kikosi. Kumbania mchezaji mpaka watu wanashtuka.

Kocha afikishiwe habari. Asituone mafala, awaulize waliotangulia. Tuna uwezo wa kumkataa mpaka akashangaa.
 
Ni swali Zuri.

Moses phili si MCHEZAJI mzuri kihivyo mnavyo fikilia.

Nitaweka hoja chache useze kunielewa Moses Phili.,

1. Kwanza kabisa haendani na Falsafa ya Robertinho, kimo,kutokukaba, KUPOTEZA MIPIRA.

2. Moses phili ni mchezaji anayependa kucheza No 10.
Namba kumi Simba Kuna Chama, Saido na sasa ongezeko la Ngoma ambaye AMECHEZA kwenye no 10 kwa Muda mrefu, vita, raja.

3. Moses phili Hana uwezo wa kukabia juu, anapoteza sana MIPIRA, featness level yake IPO CHINI ukilinganisha na Onana, KIBU na Baleke
Hili haliitaji hata kulielez.
Uwezo wa phili kukaa na mpira ni mdogo sana.

4. Hana madhara Nje ya 18.
Ni kama Kagere anafunga ndani ya 18 ni potcher mzuri mno

5. Si MCHEZAJI WA Michezo mikubwa.
JARIBU kufuatilia mchezo WA Simba na yanga ulioisha kwa goli 1-1 Azizi ki na Okra. Moses alipoteana kabisa uwanjani alicheza Dakika 80 hakupiga shuti hata Moja muda worte aliocheza

6. MAKOCHA wawili WA Simba kutomuelewa.
Zoran mark na Robertinho wote hawana Imani na phili, Zoran maki ALIWAHI kumtumia kyombo kwenye Mechi ya Simba na yanga Ngao ya Jamii dk 80 na KUMUACHA BENCHI PHILI.
Magoli ya Sakho na Mayele 2-1

BINAFSI NIMESIKITIKA SANA KUONA SIMBA INA MAWINGA 10
NIMESHANGAZWA SANA KUMUONA BANDA.
 
Nakuonaga unajua mpira kumne hamna kitu 1)toa statistics za phiri kupoteza mipira na kimo chake kulinganisha na baleke na kibu 2) Mose sio namba 10 ila ni modern stricker ambaye anaweza kucheza 10, winger na hata natural stricker na akakupa matokeo. Kipindi cha mgunda alikua anamtumia kama stricker wa mwisho na uliona moto wake alivyokua anapambana na mayele. Aina io ya washambuliaji kwa bongo hua ni rahisi kufunga sana coz mabeki sio rahisi kukusoma. Uyo Baleke mnayesema anakaba sijui nn ngoja uone msimu huu 3)Ishu sio fitness. Alipata majereha akarudi. Benchi la ufundi toka msimu uliopita lilikua linafanya kazi gani kurudisha fitness yake? Aiya micson fitness ipo chini lakini zile products bado anazo mguuni hv ndo utasema umweke benchi? Kama sababu ni hvyo ajaribu basi kumweka naye benchi afu uone kocha atakavyopigwa mawe. Mbaya zaidi unapomuweka muda mrefu nje mchezaji hata hali ya kujiamini inashuka io ni shida sana 4) Tupe statistics zako mana phiri magoli ya nje ya 18 keshafunga sana tu 5) Hapa ndo umepuyanga kabisa kwasababu kama ni hvyo basi chama pia sio mchezaji wa mechi kubwa. Mind You ndiye aliyefunga goli lililoipeleka simba hatua ya makundi Caf 6)Nakupa mfano mdogo tu Nabi kaja kawajenga wachezaji aliowakuta na waliosajiliwa yanga wakapata kikosi kipana ambacho hakimtegemei mchezaji mmoja labda sehem ya stricker ndo walikua wanahaha pia Gamondi kaja uliona kikkosi cha first half na second ni kama havipishani. Why not usiwajenge hao wachezaji wafit kwenye mfumo? Mi nasemaga sidhani kama ni ngumu au haiwezekan. Kocha mpya akija wajenge wachezaji waingie kwenye mfumo wako
 
Malalamiko ni mengi wakati mechi imechezwa moja tu. Sasa wangewezaje kuingia wachezaji wote? Kwa nini hutetei bwanamdogo Feruzi akae pale langoni badala ya Ally Salim?
 
Nakuonaga unajua mpira kumne hamna kitu 1)toa statistics za phiri kupoteza mipira na kimo chake kulinganisha na baleke na kibu 2) Mose sio namba 10 ila ni modern stricker ambaye anaweza kucheza 10, winger na hata natural stricker na akakupa matokeo. Kipindi cha mgunda alikua anamtumia kama stricker wa mwisho na uliona moto wake alivyokua anapambana na mayele. Aina io ya washambuliaji kwa bongo hua ni rahisi kufunga sana coz mabeki sio rahisi kukusoma. Uyo Baleke mnayesema anakaba sijui nn ngoja uone msimu huu 3)Ishu sio fitness. Alipata majereha akarudi. Benchi la ufundi toka msimu uliopita lilikua linafanya kazi gani kurudisha fitness yake? Aiya micson fitness ipo chini lakini zile products bado anazo mguuni hv ndo utasema umweke benchi? Kama sababu ni hvyo ajaribu basi kumweka naye benchi afu uone kocha atakavyopigwa mawe. Mbaya zaidi unapomuweka muda mrefu nje mchezaji hata hali ya kujiamini inashuka io ni shida sana 4) Tupe statistics zako mana phiri magoli ya nje ya 18 keshafunga sana tu 5) Hapa ndo umepuyanga kabisa kwasababu kama ni hvyo basi chama pia sio mchezaji wa mechi kubwa. Mind You ndiye aliyefunga goli lililoipeleka simba hatua ya makundi Caf 6)Nakupa mfano mdogo tu Nabi kaja kawajenga wachezaji aliowakuta na waliosajiliwa yanga wakapata kikosi kipana ambacho hakimtegemei mchezaji mmoja labda sehem ya stricker ndo walikua wanahaha pia Gamondi kaja uliona kikkosi cha first half na second ni kama havipishani. Why not usiwajenge hao wachezaji wafit kwenye mfumo? Mi nasemaga sidhani kama ni ngumu au haiwezekan. Kocha mpya akija wajenge wachezaji waingie kwenye mfumo wako

Nachelea KUKUJIBU hoja vizuri kwa sababu ya undishi wako.

Anyway kwa KIFUPI ni mwamba.
ZORAN MARK NA ROBERT ORIVIERA MAKOCHA WAKUBWA, WENYE UZOEFU, WASOMI, WENYE TAALUMA HAWAJALIZISHWA NA KIWANGO CHAKE.

kama ambavyo akina Pablo, walivyomkataa Banda hata
Zoran mark na Robertinho NAO wamemkataa Banda.

NIMEWEKA HOJA KUWA SI MCHEZAJI MZURI NA HAINGII KWENYE MFUMO WA KWANGU NA HATA WA ROBERTINHO.

MI MAONI YANGU NI HAYO TU.
 
Ni swali Zuri.

Moses phili si MCHEZAJI mzuri kihivyo mnavyo fikilia.

Nitaweka hoja chache useze kunielewa Moses Phili.,

1. Kwanza kabisa haendani na Falsafa ya Robertinho, kimo,kutokukaba, KUPOTEZA MIPIRA.

2. Moses phili ni mchezaji anayependa kucheza No 10.
Namba kumi Simba Kuna Chama, Saido na sasa ongezeko la Ngoma ambaye AMECHEZA kwenye no 10 kwa Muda mrefu, vita, raja.

3. Moses phili Hana uwezo wa kukabia juu, anapoteza sana MIPIRA, featness level yake IPO CHINI ukilinganisha na Onana, KIBU na Baleke
Hili haliitaji hata kulielez.
Uwezo wa phili kukaa na mpira ni mdogo sana.

4. Hana madhara Nje ya 18.
Ni kama Kagere anafunga ndani ya 18 ni potcher mzuri mno

5. Si MCHEZAJI WA Michezo mikubwa.
JARIBU kufuatilia mchezo WA Simba na yanga ulioisha kwa goli 1-1 Azizi ki na Okra. Moses alipoteana kabisa uwanjani alicheza Dakika 80 hakupiga shuti hata Moja muda worte aliocheza

6. MAKOCHA wawili WA Simba kutomuelewa.
Zoran mark na Robertinho wote hawana Imani na phili, Zoran maki ALIWAHI kumtumia kyombo kwenye Mechi ya Simba na yanga Ngao ya Jamii dk 80 na KUMUACHA BENCHI PHILI.
Magoli ya Sakho na Mayele 2-1

BINAFSI NIMESIKITIKA SANA KUONA SIMBA INA MAWINGA 10
NIMESHANGAZWA SANA KUMUONA BANDA.
Mtazamo wako boss, you maybe right maybe not....you maybe a lion or mwananchi.....ila Mimi pale nastik na mleta mada na nasimama nae, tena I'm declare the interest kuwa kocha asipoacha mahaba yake basi simba hatuna kocha pale
 
Nakuonaga unajua mpira kumne hamna kitu 1)toa statistics za phiri kupoteza mipira na kimo chake kulinganisha na baleke na kibu 2) Mose sio namba 10 ila ni modern stricker ambaye anaweza kucheza 10, winger na hata natural stricker na akakupa matokeo. Kipindi cha mgunda alikua anamtumia kama stricker wa mwisho na uliona moto wake alivyokua anapambana na mayele. Aina io ya washambuliaji kwa bongo hua ni rahisi kufunga sana coz mabeki sio rahisi kukusoma. Uyo Baleke mnayesema anakaba sijui nn ngoja uone msimu huu 3)Ishu sio fitness. Alipata majereha akarudi. Benchi la ufundi toka msimu uliopita lilikua linafanya kazi gani kurudisha fitness yake? Aiya micson fitness ipo chini lakini zile products bado anazo mguuni hv ndo utasema umweke benchi? Kama sababu ni hvyo ajaribu basi kumweka naye benchi afu uone kocha atakavyopigwa mawe. Mbaya zaidi unapomuweka muda mrefu nje mchezaji hata hali ya kujiamini inashuka io ni shida sana 4) Tupe statistics zako mana phiri magoli ya nje ya 18 keshafunga sana tu 5) Hapa ndo umepuyanga kabisa kwasababu kama ni hvyo basi chama pia sio mchezaji wa mechi kubwa. Mind You ndiye aliyefunga goli lililoipeleka simba hatua ya makundi Caf 6)Nakupa mfano mdogo tu Nabi kaja kawajenga wachezaji aliowakuta na waliosajiliwa yanga wakapata kikosi kipana ambacho hakimtegemei mchezaji mmoja labda sehem ya stricker ndo walikua wanahaha pia Gamondi kaja uliona kikkosi cha first half na second ni kama havipishani. Why not usiwajenge hao wachezaji wafit kwenye mfumo? Mi nasemaga sidhani kama ni ngumu au haiwezekan. Kocha mpya akija wajenge wachezaji waingie kwenye mfumo wako
Kitacheza kikosi cha Ushindi, bad enough Phiri hakuwepo kwenye kikosi cha Ushindi.
Na kikosi cha Ushindi hakibadilishwi.
 
Aondoke kocha tuanze Upya? Mpaka phiri atakapopata kocha anayemwelewa?
Au phiri apambane mazoezini?
Jibu lipo wazi hapa....
Boss, unamtetea kocha....umeongea sawa kabisaa logically true ila kocha anazingua yule...aya ntibanzokiza pia mnatuambia nini? Kapewa airtime kubwa kafanya nini? Ni kweli kibu na bocco ni bora kuliko phiri? Mnasema juhudi mazoezini
 
Ni swali Zuri.

Moses phili si MCHEZAJI mzuri kihivyo mnavyo fikilia.

Nitaweka hoja chache useze kunielewa Moses Phili.,

1. Kwanza kabisa haendani na Falsafa ya Robertinho, kimo,kutokukaba, KUPOTEZA MIPIRA.

2. Moses phili ni mchezaji anayependa kucheza No 10.
Namba kumi Simba Kuna Chama, Saido na sasa ongezeko la Ngoma ambaye AMECHEZA kwenye no 10 kwa Muda mrefu, vita, raja.

3. Moses phili Hana uwezo wa kukabia juu, anapoteza sana MIPIRA, featness level yake IPO CHINI ukilinganisha na Onana, KIBU na Baleke
Hili haliitaji hata kulielez.
Uwezo wa phili kukaa na mpira ni mdogo sana.

4. Hana madhara Nje ya 18.
Ni kama Kagere anafunga ndani ya 18 ni potcher mzuri mno

5. Si MCHEZAJI WA Michezo mikubwa.
JARIBU kufuatilia mchezo WA Simba na yanga ulioisha kwa goli 1-1 Azizi ki na Okra. Moses alipoteana kabisa uwanjani alicheza Dakika 80 hakupiga shuti hata Moja muda worte aliocheza

6. MAKOCHA wawili WA Simba kutomuelewa.
Zoran mark na Robertinho wote hawana Imani na phili, Zoran maki ALIWAHI kumtumia kyombo kwenye Mechi ya Simba na yanga Ngao ya Jamii dk 80 na KUMUACHA BENCHI PHILI.
Magoli ya Sakho na Mayele 2-1

BINAFSI NIMESIKITIKA SANA KUONA SIMBA INA MAWINGA 10
NIMESHANGAZWA SANA KUMUONA BANDA.
Sasa kwanini hakuachwa hili dirisha kubwa, aende huko anakofaa na falsafa inamkubali? Ko mnataka kuua carrier yakee?

Acheni hoja za kitoto, wekeni wazi watu wajue ukweli halisi.
 
Kwakweli mchezaji kama haitajiki ni vyema kutendewa haki atafute changamoto kwingine.

Ni sawa na Yanga wangemng'ang'ania Yanick Bangala wana mkataba naye halafu unamuweka benchi siyo uungwana, waliopewa thank you Ndio hawana sifa za kucheza kwenye timu.

Halafu tamasha tu ambalo ni bonanza unamyima vipi airtime mchezaji ambaye wenye timu wanampenda?
 
Ni swali Zuri.

Moses phili si MCHEZAJI mzuri kihivyo mnavyo fikilia.

Nitaweka hoja chache useze kunielewa Moses Phili.,

1. Kwanza kabisa haendani na Falsafa ya Robertinho, kimo,kutokukaba, KUPOTEZA MIPIRA.

2. Moses phili ni mchezaji anayependa kucheza No 10.
Namba kumi Simba Kuna Chama, Saido na sasa ongezeko la Ngoma ambaye AMECHEZA kwenye no 10 kwa Muda mrefu, vita, raja.

3. Moses phili Hana uwezo wa kukabia juu, anapoteza sana MIPIRA, featness level yake IPO CHINI ukilinganisha na Onana, KIBU na Baleke
Hili haliitaji hata kulielez.
Uwezo wa phili kukaa na mpira ni mdogo sana.

4. Hana madhara Nje ya 18.
Ni kama Kagere anafunga ndani ya 18 ni potcher mzuri mno

5. Si MCHEZAJI WA Michezo mikubwa.
JARIBU kufuatilia mchezo WA Simba na yanga ulioisha kwa goli 1-1 Azizi ki na Okra. Moses alipoteana kabisa uwanjani alicheza Dakika 80 hakupiga shuti hata Moja muda worte aliocheza

6. MAKOCHA wawili WA Simba kutomuelewa.
Zoran mark na Robertinho wote hawana Imani na phili, Zoran maki ALIWAHI kumtumia kyombo kwenye Mechi ya Simba na yanga Ngao ya Jamii dk 80 na KUMUACHA BENCHI PHILI.
Magoli ya Sakho na Mayele 2-1

BINAFSI NIMESIKITIKA SANA KUONA SIMBA INA MAWINGA 10
NIMESHANGAZWA SANA KUMUONA BANDA.
HUNA AKILI.

Anafunga ndani ya 18 tu?
Acha ujuaji usio na msingi,usitudanganye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom