Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

Naongezea moja uliyoisahau, hawajui Kiingereza kama sisi Waafrika (weusi), sisi tunajua Kiingereza kuwashinda Wakorea lkn wameendelea kutuzidi ktk kila nyanja ingawaje wamewekewa vikwazo vya kiuchumi na karibu Dunia nzima, hawana magonjwa kama Ebola, UKIMWI, Malaria, hakuna Mkorea mwenye jina la kizungu kama sisi Waafrika weusi huku kwetu tunajiita Julius, George, Ahmad, Husein, John lkn bado tunadharauriwa na Wazungu na Waarabu klk binadamu yoyote yule Duniani!

Mkorea Kaskazini kama ulivyosema haongei Kiingereza kabisa lkn bado ametengeneza software yake yeye mwenyewe yaani hatumii windows, hivi sasa wametengeneza smart phone yao isiyotumia android yaani wamebuni software ya kwao, sisi kutwa nzima tunashindana kuongea Kiingereza watu wanalipa ada milioni 10 shule ya msingi ili mtoto tu ajue kuongea Kiingereza!
Hii nyongeza yako iko kiutamu zaidi na iko njema sana kama ulivyoileta kwenye ule uzi wako.
 
1.Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug.
kim-jong-un-80.jpg
Nikitaka uraia wa huko inakuaje?????
 
Nimependa namba1 ila pia uwanja wa mpira mkubwa upo brazil kama sikosei,vilevile sio wao pekee ndo wamishs wahi kuteka meli za kimarekani iran wamisha fanya hvyo
 
Nimependa namba1 ila pia uwanja wa mpira mkubwa upo brazil kama sikosei,vilevile sio wao pekee ndo wamishs wahi kuteka meli za kimarekani iran wamisha fanya hvyo
source zote zinasema rungrado studium inashika rekodi 150000 brazil malakana 100000. labda kama ni proposed au recently constructed. lakini wakorea wanashika record since 1989 umetapakaa hekari 51
 
Viwanja hata Marekani wakati wa world cup 1994
vipo viwanja vilikuwa vinabeba watu zaidi ya 200000
ingawa ni vya michezo mingine vilitumika kwa football....

Kuna viwanja middle east vinabeba watu laki 2 hadi 3
weka majina au source tujilidhishe mkuu. maana source zote zinasema hivyo. marekani kuna viwanja vikubwa kweli lkn capacity haizidi 130000. according to current statistics labda kama wanaingia kwa kusimamisha watu
 
Hiyo 11 kiboko, cjui km wabongo tungeweza na watu wanavopendaga mauzo mpk kwenye magari ya watu!!
 
Back
Top Bottom