Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

Umebeba na propaganda za marekani kwa korea kaskazini kama zilivyo..hizi ni sawa na zile za idi amini kula nyama za watu
 
1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug.

2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa amabayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani.

3. Wakati dunia nzima leo ni 2017 kwao ni mwaka 106 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung.

4. Kuanzia 2009 nchi hii sio ya kikomunist tena, wana msimamo au IDEOLOGY yaoo mpya unaitwa " JUCHE" wakimaanisha "KUJITEGEMEA".

5. Ndio nchi yenye uwanja mkubwa wa mpira kuliko nchi yoyote duniani, unabeba watu 150,000.

6. Miaka ya 50, walijenga mji fake (nice city) mpakani ili kuwavutia watu wahamie kutoka south korea.

7. Kwa miaka 60 iliyopita ni wakorea kaskazini 23,000 waliokimbilia Korea Kusini wakati ni wakorea kusini wawili tu ndio wamerudi korea kaskazini.

8. Wakati dunia nzima inatumia OS za Windows,LINUX au MAC OS etc , wao wanatumia ya kwao inaitwa STAR OS.

9. Kumiliki bibilia, Kuangalia Movie au tamthilia za Korea kusini na kusambaza picha za ngono adhabu ni kifo ukibainika.

10. Ni kinyume cha sheria kuvaa jeans korea Kaskazini.

11. Kuna Shirika Linalotumia parachuti kuzipeleka BIBILIA nchini humo wakiomba angalau ziangukie kwa mmoja aelewe neno.

12. Kulingana na vitabu vya nchi hiyo Kiongozi wao Kim Jong Un alijifunza kuendesha gari akiwa na miaka 3.

13. kama umezaliwa tarehe 8 july au tarehe 17 december Huruhusiwi kusherekea Birthday maana ni siku ambazo viongozi wao Kim Jong Il na Kim Il song walikufa.

14. Wanamiliki kikosi maalumu cha wanajeshi wanaakili sana/geneus kama jeshi la kimtandao,Special cyber hackers, Unit 121 au Beaureu 121. Na inasemekana wametuma baadhi yao zaidi ya askari hao 1200 nchi mbalimbali kwa mashambulizi au cyber war. Ndio waliohusika katika Shambulizi la Kampuni ya SONY Kulingana na vyombo vya magharibi.

15. Hawajui Kiingereza kama sisi Waafrika (weusi), sisi tunajua Kiingereza kuwashinda Wakorea lakini wameendelea kutuzidi katika kila nyanja ingawaje wamewekewa vikwazo vya kiuchumi na karibu Dunia nzima,
hawana magonjwa kama Ebola, UKIMWI, Malaria.

16. Hakuna Mkorea mwenye jina la kizungu kama sisi Waafrika huku kwetu tunajiita Julius, George, Ahmad, Husein, John lakini bado tunadharauriwa na Wazungu na Waarabu kuliko binadamu yoyote yule Duniani!.

17. Mkorea Kaskazini kama nilivyoainisha hapo juu kuwa haongei Kingereza kabisa lakini bado ametengeneza software yake yeye mwenyewe yaani hatumii windows, hivi sasa wametengeneza smart phone yao isiyotumia android yaani wamebuni software ya kwao. Lakini sisi kutwa nzima tunashindana kuongea Kiingereza watanzania tunagharimika kabisa mpaka tunalipa ada milioni 10 shule ya msingi ili mtoto tu ajue kuongea Kiingereza
iyo namba moja mzuka sana
 
Western blogs na media zinawaharibu vijana za kuambiwa changanya na zako
 
kama hawatumii lugha ya kiingereza mbona hiyo 'OS' yao ya "STAR OS" ni lugha ya kiingereza.
kuna mkanganyiko hapa
 
1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug.

2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa amabayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani.

3. Wakati dunia nzima leo ni 2017 kwao ni mwaka 106 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung.

4. Kuanzia 2009 nchi hii sio ya kikomunist tena, wana msimamo au IDEOLOGY yaoo mpya unaitwa " JUCHE" wakimaanisha "KUJITEGEMEA".

5. Ndio nchi yenye uwanja mkubwa wa mpira kuliko nchi yoyote duniani, unabeba watu 150,000.

6. Miaka ya 50, walijenga mji fake (nice city) mpakani ili kuwavutia watu wahamie kutoka south korea.

7. Kwa miaka 60 iliyopita ni wakorea kaskazini 23,000 waliokimbilia Korea Kusini wakati ni wakorea kusini wawili tu ndio wamerudi korea kaskazini.

8. Wakati dunia nzima inatumia OS za Windows,LINUX au MAC OS etc , wao wanatumia ya kwao inaitwa STAR OS.

9. Kumiliki bibilia, Kuangalia Movie au tamthilia za Korea kusini na kusambaza picha za ngono adhabu ni kifo ukibainika.

10. Ni kinyume cha sheria kuvaa jeans korea Kaskazini.

11. Kuna Shirika Linalotumia parachuti kuzipeleka BIBILIA nchini humo wakiomba angalau ziangukie kwa mmoja aelewe neno.

12. Kulingana na vitabu vya nchi hiyo Kiongozi wao Kim Jong Un alijifunza kuendesha gari akiwa na miaka 3.

13. kama umezaliwa tarehe 8 july au tarehe 17 december Huruhusiwi kusherekea Birthday maana ni siku ambazo viongozi wao Kim Jong Il na Kim Il song walikufa.

14. Wanamiliki kikosi maalumu cha wanajeshi wanaakili sana/geneus kama jeshi la kimtandao,Special cyber hackers, Unit 121 au Beaureu 121. Na inasemekana wametuma baadhi yao zaidi ya askari hao 1200 nchi mbalimbali kwa mashambulizi au cyber war. Ndio waliohusika katika Shambulizi la Kampuni ya SONY Kulingana na vyombo vya magharibi.

15. Hawajui Kiingereza kama sisi Waafrika (weusi), sisi tunajua Kiingereza kuwashinda Wakorea lakini wameendelea kutuzidi katika kila nyanja ingawaje wamewekewa vikwazo vya kiuchumi na karibu Dunia nzima, hawana magonjwa kama Ebola, UKIMWI, Malaria.

16. Hakuna Mkorea mwenye jina la kizungu kama sisi Waafrika huku kwetu tunajiita Julius, George, Ahmad, Husein, John lakini bado tunadharauriwa na Wazungu na Waarabu kuliko binadamu yoyote yule Duniani!.

17. Mkorea Kaskazini kama nilivyoainisha hapo juu kuwa haongei Kingereza kabisa lakini bado ametengeneza software yake yeye mwenyewe yaani hatumii windows, hivi sasa wametengeneza smart phone yao isiyotumia android yaani wamebuni software ya kwao. Lakini sisi kutwa nzima tunashindana kuongea Kiingereza watanzania tunagharimika kabisa mpaka tunalipa ada milioni 10 shule ya msingi ili mtoto tu ajue kuongea Kiingereza
Uzi umechuja,
Ipo everywhere young,so silly
 
Si ndio nasie tunaelekea !huko si wenyewe tuko mwaka 0002 na sio mwaka 2017 rejea andiko kule jf andiko

1: Naye mfalme ataletwa kwenu, atajitanabaisha kuwa yeye ndio kila kitu, astailie kuwaongoza miaka yote, na akuna wa kumpinga,

2: Atazilaani mamlaka zake za nyuma, atamleta mwanae mpeñdwa, nae mtamwita Bashite.

3: Nazo siku zitabadilishwa kutoka 2015 mpka mwaka 0001, namwaka 2017 kuwa mwaka 0002 maana yeye atakuasheria na sheria itakua yeye!!

4: Basi na niwaambieni mumuonapo, atawaiteni mumshangilie, atawabatiza kwa moto, na yeye atakua yeye!!

5: Badada yakusema hayo makuhani wakauliza; ninani basi uyo?

6: Nae akawajibu niyule mwenye kutosikia, na mjuzi wakila jambo!

7: Wakamuuliza je yu miongoni mwetu???

8: Nae akàwajibu "nyikani kume kauka, maswali yenu hayana tija, kundi lenu limedhoofika, basi amini na waambieni ninyi ni nyinyi mtakao mleta wa kwenu ninyi!!

9: wakanon'gona kwa makundi wakamuuliza "wasema sisi tu dhoofu wewe je"?

10. Akawajibu, "heri yamimi ni dhoofu mara 100 ya nyinyi maana muwaongozao nidhoofu wa akili, mwili na fikra maana watamsujudu mtu yule na kumsifia alihali akiishi kwa wasiwas:

TANZANIA 3:1:10
 
Wakati mwingine mnataka tu kuonekana wapuuzi. Korea ni taifa lenye uwezo wa Nyuklia, unafikiri taifa lenye njaa linaweza kumiliki nyuklia? Korea kila mtu ni Mwanajeshi, wangekuwa wananyanyasika kiasi hicho si wangeshapindua nchi?
Cuba wameisema weee, leo hao wanatujengea kiwanda cha dawa za kuua mazalia ya mbu, wakati Marekani wao wanawauzia dawa na neti kila leo. Soma 'accounts' tofauti za historia. Amnesty International ni wahuni vibaraka, ni madalali wa Wazungu, hawawezi kusema lolote zuri la adui wa Marekani.
Unavyofikiri sivyo hata kidogo, kwenye miaka ya sabini hadi themanini, Urusi (Soviet Union) wananchi wake walikuwa wakipanga foleni kununua vitu vidogo km Mkate, Toilet paper na Dawa ya mswaki, lkn ikiwa full super power yenye kumiliki hizo nuclear.

Tatizo la nchi kama NK ni kuweka maswala ya vita kama kipaumbele cha taifa na kuacha mambo ya msingi na hii ndo maana wanazidiwa mbali mno na South Korea au Japan ki uchumi.

Kumiliki bomu la nuclear hakufanyi watu wako ndo wawe na maisha mazuri, kuna nchi nyingi hazina hizo nuclear lkn ki-Social Development Index, wako poa mno.
NK wana " Belligerent Mentality" kupita kiasi, kiasi kwamba maswala ya maendeleo kwao siyo kipaumbele.
 
Back
Top Bottom