Kuhusu kikokotoo cha wastaafu: Serikali na CCM muwe na haya. Nanyi wabunge na bunge letu oneni aibu na muwe na utu

Uzima Tele

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
1,101
2,345
Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake...

Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta kwenye jukwaa hili ili tujadili.

Screenshot_20231117-164842.png

✍️Ujumbe huu uko very clear kuwa unahusu kikokotoo cha 33.33% cha mafao ya watumishi umma wastaafu..

✍️Ni wazi pia kuwa kikokotoo hiki, hakiwahusu watumishi wa kada za kisiasa kama;
√ Rais wa nchi.
√ Makamu wa Rais.
√ Waziri Mkuu.
√ Spika wa bunge.
√ Jaji Mkuu
√ Mawaziri.
√ Makatibu wakuu wa wizara..
√ Wabunge nk nk.

✍️Lakini ni ajabu kuwa hili kundi la watu (wanasiasa) hao hapo ☝️☝️juu ndio wanajipangia wajilipe mafao kiasi gani na kwa kanuni ipi. Na pia ndio wanaowapangia wengine kama walimu, makaktari, manesi, makarani nk nk walipwe vipi na kwa kanuni ipi.

Mpaka hapo, unaweza kuona kuwa, kwa utaratibu na mfumo huu, basi kamwe hakuwezi kuwa na fairness yoyote ktk kugawana keki hii ya taifa!!

✍️Hebu sasa tumjadili huyo polisi hapo juu. Kafanya kazi kuitumikia nchi hii kwa miaka 32. Hivi kweli ni sahihi kumpa mafao ya kustaafu ya Tshs. 18,000,000 tu? Hivi huyu hata mshahara wake unaweza kuwa ulikuwa shilingi ngapi eti?

✍️Hebu endelea kufikiri zaidi. Kuwa, usawa uko wapi iwapo mtu mmoja mwanasiasa mwenye cheo cha ubunge tu. Tena aliyepata ubunge huo kwa rushwa au kuiba kura.

Huyu anakaa bungeni miaka mitano halafu siku hiyo hiyo bunge linapovunjwa bila jacho wala kuhangaishwa kuambiwa leta nyaraka hii au ile ili ulipwe mafao lakini jioni anakuta kwenye Bank A/C yake TZS 350,000,000 kama mafao yake ya ubunge kwa miaka 5 tu???

Hivi hii inaingia akilini kweli hii?

✍️Hebu Rais Samia Suluhu Hassan na serikali kwa ujumla na hususani CCM yako oneni hata aibu kidogo basi. Wote tuna akili na tunaona. Hii haiko sawa!!

Hii siyo sera nzuri hata kidogo. Ni sera iliyoleta utaratibu wa kikandamizaji na kinyonyaji usiokubalika hata kidogo ktk jamii iliyostaarabika...

Hebu rudisheni kikokotoo cha zamani japo hata hicho nacho kilikuwa hakifai vilevile..
 
Kuna siku sio nyingi CCM na serikali yake watashitukizwa kwa matukio mabaya kama Israel ilivyoshitukizwa na utawala wa Hamas Ukanda wa Gaza.

Trend ya mienendo ya viongozi ndio itakayoleta vurumai hizo ijapokuwa haamini kama hiki nikisemacho kitatokea lakini kwa kuzama ndani kwa kutumia 'Emotional Intelligence' wananchi na baadhi ya watumishi wahanga wa udhalimu ' they no longer care about losing physical life other than upholding spiritual standing in a just and balanced moral standards.
 
Nakubaliana na wewe kabisa..

Popote pasipo na haki na usawa, hawa wasio na nguvu na wanaoonewa hutumia silaha ya maombi ya kulia machozi mbele za Mungu Yehova...

Na Mungu husikia kilio chao aisee, na huyaona machozi yao...

Na usiombe Mungu akaifunua ghadhabu yake ili kumtetea na kumpigania mtu wake aliyeonewa na kunyanyaswa...

Hukumu yake huwa mbaya sana...
 
Huyo polisi huenda ni yule wa anaetoka chumbani Kwa mama Yako na taulo ndio baba Yako!!

Binafsi licha ya kuwa nitalipwa hiyohiyo ila siwezi kumuonea huruma polisi labda nife nizaliwe upya!
Ni kweli kabisa polisi hawa wanatumiwa sana na wanasiasa walafi ili kuwasaidia kwa hila kuendelea kukaa ktk vyeo vyao vya madaraka hayo isivyostahili..

Lakini utambue kuwa hawa nao ni watumishi wa umma kama tulivyo wengine. Aidha si polisi wote wanakubaliana na ujinga wa watawala hawa...

Hata hivyo, mimi naheshimu maoni yako. Kwa kuwa umeamua kuwachukia, basi endelea hivyo hivyo ila kumbuka kuwa kumchukia mtu mwingine ni kuiumiza tu nafsi yako bila sababu yoyote..!
 
Ni kweli kabisa polisi hawa wanatumiwa sana na wanasiasa walafi wa madaraka ili waendelee kukaa ktk vyeo vyao vya madaraka hayo kwa hila..

Lakini utambue kuwa hawa nao ni watumishi wa umma kama tulivyo wengine. Aidha si polisi wote wanakubaliana na ujinga wa watawala hawa...

Hata hivyo, mimi naheshimu maoni yako. Kwa kuwa umeamua kuwachukia, basi endelea hivyo hivyo ila kumbuka kuwa kumchukia mtu mwingine ni kuiumiza tu nafsi yako bila sababu yoyote..!
Polisi aliyelalamika kwamba amefanya kazi jeshi la polisi kwa miaka 32 lakini ameambulia kiinua mgongo cha 18m. Kimsingi huyo polisi amefanya kazi ya ajira polisi kwa miaka 20 tu sio 32 kwa sababu polisi hufanya kazi ya mktaba wa miaka mitatu mitatu kama hajafanya kosa la kimaadili au kujiendelza akavuka daraja la vyeo vya chini vinavyovaliwa mkononi ndani ya miaka 3*4 awamu nne basi hukosa sifa ya kuendelea kusajiliwa kuendelea. Kwa hiyo kiufupi miaka 12 ya kwanza ni kama kibarua tu ndio maana unapowaona huko mitaani au barabarani wakichachalika wanatengeza kesho yao wasiyoijua (They do not have guaranteed job security)..
 
Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake...

Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta kwenye jukwaa hili ili tujadili...
View attachment 2816618
✍️Ujumbe huu uko very clear kuwa unahusu kikokotoo cha 33.33% cha mafao ya watumishi umma wastaafu..

✍️Ni wazi pia kuwa kikokotoo hiki, hakiwahusu watumishi wa kada za kisiasa kama;
√ Rais wa nchi.
√ Makamu wa Rais.
√ Waziri Mkuu.
√ Spika wa bunge.
√ Jaji Mkuu
√ Mawaziri.
√ Makatibu wakuu wa wizara..
√ Wabunge nk nk.

✍️Lakini ni ajabu kuwa hili kundi la watu (wanasiasa) hao hapo ☝️☝️juu ndio wanajipangia wajilipe mafao kiasi gani na kwa kanuni ipi. Na pia ndio wanaowapangia wengine kama walimu, makaktari, manesi, makarani nk nk walipwe vipi na kwa kanuni ipi.

Mpaka hapo, unaweza kuona kuwa, kwa utaratibu na mfumo huu, basi kamwe hakuwezi kuwa na fairness yoyote ktk kugawana keki hii ya taifa!!

✍️Hebu sasa tumjadili huyo polisi hapo juu. Kafanya kazi kuitumikia nchi hii kwa miaka 32. Hivi kweli ni sahihi kumpa mafao ya kustaafu ya Tshs. 18,000,000 tu? Hivi huyu hata mshahara wake unaweza kuwa ulikuwa shilingi ngapi eti?

✍️Hebu endelea kufikiri zaidi. Kuwa, usawa uko wapi iwapo mtu mmoja mwanasiasa mwenye cheo cha ubunge tu. Tena aliyepata ubunge huo kwa rushwa au kuiba kura.

Huyu anakaa bungeni miaka mitano halafu siku hiyo hiyo bunge linapovunjwa bila jacho wala kuhangaishwa kuambiwa leta nyaraka hii au ile ili ulipwe mafao lakini jioni anakuta kwenye Bank A/C yake TZS 350,000,000 kama mafao yake ya ubunge kwa miaka 5 tu???

Hivi hii inaingia akilini kweli hii?

✍️Hebu Rais Samia Suluhu Hassan na serikali kwa ujumla na hususani CCM yako oneni hata aibu kidogo basi. Wote tuna akili na tunaona. Hii haiko sawa!!

Hii siyo sera nzuri hata kidogo. Ni sera iliyoleta utaratibu wa kikandamizaji na kinyonyaji usiokubalika hata kidogo ktk jamii iliyostaarabika...

Hebu rudisheni kikokotoo cha zamani japo hata hicho nacho kilikuwa hakifai vilevile..
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Hao polisi si ndo wanapiga virungu upinzani? Na kama anastaafu muda huu anaweza akawa ndo wale walioingia kwa kadi ya chama ccm! Iweje apunjwe mafao amtumie ujumbe mbunge mstaafu wa upinzani badala ya mbunge wake aliyemchagua wa ccm? Lada tu niwaambie ninyi watumishi wa umma, sheriakali imepiga mahesabu imeona idadi yenu ni ndogo sana kwa hiyo hamna impact kwenye sanduku la kura 2025!
 
Ka alikuwa hajajenga nyumbani ama alikowaza ndo changamoto. Pia ka hakujiongeza na kufungua biashara ama njia za kupata kipatoo baada ya utumishii ndo anategemea kuanzaa duh
 
Hao polisi si ndo wanapiga virungu upinzani? Na kama anastaafu muda huu anaweza akawa ndo wale walioingia kwa kadi ya chama ccm! Iweje apunjwe mafao amtumie ujumbe mbunge mstaafu wa upinzani badala ya mbunge wake aliyemchagua wa ccm? Lada tu niwaambie ninyi watumishi wa umma, sheriakali imepiga mahesabu imeona idadi yenu ni ndogo sana kwa hiyo hamna impact kwenye sanduku la kura 2025!
Upo sahihi.

Watanzania: 60M
Watanzania miaka 18+: 35M
Watumishi wa umma + wastaafu: < 2M

Hivyo watumishi wa umma peke yao hawana impact kwenye sanduku la kura.

However, Never underestimate their power. Mtumishi mmoja minimum ana watu 10 wanaomtegemea (familia,ndugu, jamaa, marafiki).
 
Wangekuwa na power hiyo kikokotoo kisingepita at first place
 
Huyo si wa kuonea huruma hata kidogo. Maokoto ya kubrushia viatu barabarani na kufuta mafaili ya kesi yanamtosha maana hayawezi pungua milioni 10 kwa mwaka na ukichukua milioni 10 mara miaka 32 tayari ana 320,000,000 kibindoni.

Kwa upande wa walimu wetu, madaktari, manesi, makarani n.k, ghadhabu ya Mungu iwe juu ya wanasiasa uchara wasiojiwekea kodi kwenye mishahara na mafao yao. Na wengine hudiriki kujipatia kiunua mgongo hata mwaka mmoja kabla ya kustaafu hali wakiwakalisha wengine kwa miaka hata mitatu tangu kustaafu.
 
Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake...

Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta kwenye jukwaa hili ili tujadili...
View attachment 2816618
Ujumbe huu uko very clear kuwa unahusu kikokotoo cha 33.33% cha mafao ya watumishi umma wastaafu..

Ni wazi pia kuwa kikokotoo hiki, hakiwahusu watumishi wa kada za kisiasa kama;
√ Rais wa nchi.
√ Makamu wa Rais.
√ Waziri Mkuu.
√ Spika wa bunge.
√ Jaji Mkuu
√ Mawaziri.
√ Makatibu wakuu wa wizara..
√ Wabunge nk nk.

Lakini ni ajabu kuwa hili kundi la watu (wanasiasa) hao hapo juu ndio wanajipangia wajilipe mafao kiasi gani na kwa kanuni ipi. Na pia ndio wanaowapangia wengine kama walimu, makaktari, manesi, makarani nk nk walipwe vipi na kwa kanuni ipi.

Mpaka hapo, unaweza kuona kuwa, kwa utaratibu na mfumo huu, basi kamwe hakuwezi kuwa na fairness yoyote ktk kugawana keki hii ya taifa!!

Hebu sasa tumjadili huyo polisi hapo juu. Kafanya kazi kuitumikia nchi hii kwa miaka 32. Hivi kweli ni sahihi kumpa mafao ya kustaafu ya Tshs. 18,000,000 tu? Hivi huyu hata mshahara wake unaweza kuwa ulikuwa shilingi ngapi eti?

Hebu endelea kufikiri zaidi. Kuwa, usawa uko wapi iwapo mtu mmoja mwanasiasa mwenye cheo cha ubunge tu. Tena aliyepata ubunge huo kwa rushwa au kuiba kura.

Huyu anakaa bungeni miaka mitano halafu siku hiyo hiyo bunge linapovunjwa bila jacho wala kuhangaishwa kuambiwa leta nyaraka hii au ile ili ulipwe mafao lakini jioni anakuta kwenye Bank A/C yake TZS 350,000,000 kama mafao yake ya ubunge kwa miaka 5 tu???

Hivi hii inaingia akilini kweli hii?

Hebu Rais Samia Suluhu Hassan na serikali kwa ujumla na hususani CCM yako oneni hata aibu kidogo basi. Wote tuna akili na tunaona. Hii haiko sawa!!

Hii siyo sera nzuri hata kidogo. Ni sera iliyoleta utaratibu wa kikandamizaji na kinyonyaji usiokubalika hata kidogo ktk jamii iliyostaarabika...

Hebu rudisheni kikokotoo cha zamani japo hata hicho nacho kilikuwa hakifai vilevile..
Kama Ni polisi alipwe hata milioni tano tu zinamtosha.

Hawa wajinga ndiyo wanaiweka CCM madarakani halafu linakuja kubwabwaja humu.

Kumbafu!
 
Nakubaliana na wewe kabisa..

Popote pasipo na haki na usawa, hawa wasio na nguvu na wanaoonewa hutumia silaha ya maombi ya kulia machozi mbele za Mungu Yehova...

Na Mungu husikia kilio chao aisee, na huyaona machozi yao...

Na usiombe Mungu akaifunua ghadhabu yake ili kumtetea na kumpigania mtu wake aliyeonewa na kunyanyaswa...

Hukumu yake huwa mbaya sana...
Hakuna Mungu anaeweza kuyaona machozi ya polisi Tena polisi mwenyewe wa kibongo.

Hakuna Mungu wa hivyo!
 
Polisi ambaye hajastaafu akiona hiyo lazima achukue chake mapema.

Nasikia Mobutu Seseko alikuwa anawatukana askari kwa nini wa wanakuwa maskini wakati wanatembea na silaha
 
Back
Top Bottom