Kuhusu Bikira

Hilo suala halina ukweli ila linategemeana na binti mwenyewe kama ni mwanamke mwenye kujiheshimu na amekwisha olewa suala la wewe ulimtoa bikira linabaki kama historia no more sex btn you two, ila kama ni hao mabinti wa wasiojielewa basi ukikutana nae unapiga tu, yote kwa yote linategemea sana na tabia ya mtu mwenyewe.
 
Hili neno au hii habari inasemwa sana mitaani, kwamba mwanaume atakaemvunja bikira mwanamke husika.
Inasemwa mwanamke huyo hatomsahau milele! Na hata ipite miaka mingapi na yuko katika mahusiano ya kindoa, pindipo mvunja utepe akiomba lazima apewe.
Nawaomba wenye mnasaba na hii maneno mnifungukie.
sasa na hizi bikira za kichina,mtakumbukwa wangapi?Maana mjikuta kama 9 hv wote mnasema mmemtoa mtu(binti) mmoja bikira!
 
Kumtoa mtu bikira wala co ishu,kwa kaufaham kangu kadogo kutoka kwangu mwenyewe na marafiki zangu pia mwanaume acyesahaulika ni yule aliekua anapiga game ya ukweli kuliko mwingine yeyote ambae ushakua nae,kwanza ninaowajua mm ile kitendo cha maumivu ya cku ya kwanza anamchukia mpka huyo bf na hataki kurudia nae tena!cha muhimu ni mume kuhakikisha unamfikisha mkeo anga za mbali na kuwafunika wote waliopita kabla yako.
 
sasa na hizi bikira za kichina,mtakumbukwa wangapi?Maana mjikuta kama 9 hv wote mnasema mmemtoa mtu(binti) mmoja bikira!

Makubwa basi ! Kumbe akina Maudodo hata utaalamu huo wanao ? Acha mzaha bwn ! Basi hata wale wanaokerezwa kidole - kifupi wanaweza tengenezewa cha artificial ?
 
Hili neno au hii habari inasemwa sana mitaani, kwamba mwanaume atakaemvunja bikira mwanamke husika.
Inasemwa mwanamke huyo hatomsahau milele! Na hata ipite miaka mingapi na yuko katika mahusiano ya kindoa, pindipo mvunja utepe akiomba lazima apewe.
Nawaomba wenye mnasaba na hii maneno mnifungukie.

Wewe nawe KIBONZO. Unataka kururudi kuomba kwa wa zamani au unaogopa wa zamani atamuomba mkeo? mawazo yako ni potofu, ngoja waje wakushauri wahanga wa Malovee
 
Mtoa bikra anaweza akumbukwe au asikumbukwe inategemea ilitolewa katika mazingira gani..kama ni kwa upendo na ali-enjoy then atamkumbuka...kama alibakwa hatamkumbuka na atalichukia tendo lenyewe...kama ni kwa upendo lakini haku-enjoy hatamkumbuka pia.

Kwa kuongezea, wengi hutolewa bikira katika mazingira yasiyokuwa na muafaka. Ulaghai na mbinu nyingine hutumika kiasi kwamba mwanamke hawezi kufurahia.Hivyo kumkumbuka aliyetoa bikira ni nadra sana maana ni bad/painful memory!
 
Wewe nawe KIBONZO. Unataka kururudi kuomba kwa wa zamani au unaogopa wa zamani atamuomba mkeo? mawazo yako ni potofu, ngoja waje wakushauri wahanga wa Malovee

Kibonzo maana yake nini ? Au ni neno la kingereza ? Unitafsirie ndg.
 
Unapozungumzia bikira,ni yule gal ambae hajawah kukutana kimapenz na mwanaume yoyote yule.

Suala la kwamba ukimtoa bikra,halafu akija kuolewa na mwingine atataka muwe mnacheat,huyo siyo bikra tena,coz ulishamtoa,na mwanaume wa kwanza kabisa,makes them to cry,na huwaweka akilin mno.

Bikira original wengi siyo macheaters.and they believe that walivyo wao na wapenzi wao wa kiume wawe hivyo hivyo.kitu ambacho ni kigumu kwa baadhi ya wanaume kuwa na huyo tu.

Mkiachana au kumwagana na vibinti bikra,kama bado hujatembea nae,kaa hata mwaka mzima,jifanye kumtafuta,utamkuta single,otherwise alikuwa katika harakati za kuolewa.hapo utakuta kashaolewa,au anatarajia.rather than that,mlipoishia,palepale utamkuta hivyo hivyo.

Ukimwagana nae after sometimes ukasikia anamtu,c bikra huyo..

The word i miss u to them is so limited.Atakumic but hakuambii,akikuambia,ujue kakumis kweli.They are type of shy girls.

Girls wengi hupenda company ya wavulana,hata boys hupenda company ya wasichana.Hawa watu most of their company ni gals wenzao.Muulize mtu ambae ashatolewa bikra yake,rafik zako ni nani?,utasikia,i like boys coy,rafiki zangu ni yuda,is so nice to me,

Uliza hawa mabikira,utasikia i have one bestfnd may be elizabeth,mara nyingi ndo coy yangu.

Wanahasira hawa mabinti mno.but when it kams to their boyfnd,wanatulia mno.

Wanapenda attention yako mwanaume wake.ukimsahau kidogo anakuwa depresd kinoma na hakuambii,siku ukiwa unaongea nae ndo atakuambia.

They are antsocial,quite, and cool.



Kama una gal bikra,mchunguze kwa hayo,otherwise utauziwa gunia bila kitu ndan yake.

Hayo niukweli wa kwangu yupo hivo hivo? Nam**nda sana.
 
Wanawake hapa bongo aslimia 90% au zaidi huwa wanatolewa bikira kwa kubakwa hawana ridhaa kwenye jambo hilo , swala la kukumbukwa hapo ni lazima kwakuwa kitendo chenyewe ni once in a life time sasa hatujui atakumbukwa kwa heri au kwa shari itategemea.
 
Kwa hiyo akitoka Bikira wakati anapanda mti hatausahau huo mti? Sasa nimejuaga ndo maana demu wangu anapenda sana kukaa chini ya mti mmoja hapo nje kwao.( huyo hapo kwenye avator yangu) Alinisimuliaga akiwa mdogo alivunja hiyo kitu wakati anapanda huo mti kutungua matunda.Kumbe ndo anaukumbuka kihivyo eee? Na je akiitoa wakati akiendesha baisikweli? Ataipenda na kuikumbuka ee? DU!! Haya tumeelewaga.
 
GIUSSEPPE,

Kuna bikira kwa maana mbili

Ya kwanza ni ile kutokiingiliwa na mwanaume ya pili huo ute unaozungumzia.
 
Wanawake hapa bongo aslimia 90% au zaidi huwa wanatolewa bikira kwa kubakwa hawana ridhaa kwenye jambo hilo , swala la kukumbukwa hapo ni lazima kwakuwa kitendo chenyewe ni once in a life time sasa hatujui atakumbukwa kwa heri au kwa shari itategemea.


90%. ? You are kidding, hata my mother wako is in this 90% ? Don tell me, this should be soooo bad. By the way na wewe usha baka wangapi ukawatoa hiyo kitu yao?


Next time do not generalize things unless you are 90% sure. IDIOT
 
GIUSSEPPE,

Kuna bikira kwa maana mbili

Ya kwanza ni ile kutokiingiliwa na mwanaume ya pili huo ute unaozungumzia.


Sasa kwani topic ni kuingiliwa kwa mara ya kwanza au ni kutolewa bikira?

kwani alie tolewa bikira na baisikeli akiingiliwa kwa mara ya kwanza tunaita kuwa katolewa bikira?
 
GIUSSEPE,

Una define vipi kubakwa? ni mabikira wangapi wanaenda eneo la tukio wakiwa wamejiandaa kutolewa?
 
Sio kweli, hivyo vidude huwa vinatoka kwenye mazingira tata sana tena hatarishi. Walio wengi wanaachwa na kumbukumbu za maumivu ambayo hawaishi kukumbuka. Ninawafahamu wawili mmoja ana miaka 21 na mweingine 25 wamepoteza kabisa hamu ya kurudia tendo kutokana na kuchanwa vibaya na kubanwa sana na mtendaji zaidi ya mpiga roba.
 
inategemea unaweza ukatolewa na usimkumbuke ila ninachoamini anayekuoa raha zaidi ndo utamkumbuka ,hauwezi kumkumbuka m2 ambaye akupi mautamu freshi.
 
Back
Top Bottom