Kuhusu Bikira

Mtoa bikra anaweza akumbukwe au asikumbukwe inategemea ilitolewa katika mazingira gani..kama ni kwa upendo na ali-enjoy then atamkumbuka...kama alibakwa hatamkumbuka na atalichukia tendo lenyewe...kama ni kwa upendo lakini haku-enjoy hatamkumbuka pia.
 
Jana nilikuwa na kontena la kubandua lebo.
Ikabidi ni-invest muda

Hata sie kwetu maana ni hiyohiyo! Nilikua na wasiwasi na Kipipi alitia shaka comment yangu. Jana naona ulilala mapema maana mara ya mwisho nimekuona hapa mtaani (MMU) Saa 6 hivi kisha jiii ! Alaaa si unaona sasa naanza kumuuliza mtu mdhima kwa nini alilalal mapema! Wakati wakubwa wana mishughuli bwaaa! bweee ! Kama kuwabandua wageni lebo. Sijui mgeni wetu wa juzi ulikuta lebo ngumu au wuuuu! Nimejiongeza ntakua siuliulizi.
 
Cdhani kama kutoa bikra is such a big dil ila anayepiga kazi fresh nafikiri ndio huwa mara nyingi anapewa nafasi ya kukumbukwa zaidi.

huu ndy ukweli coz wengine wametolewa wkt wapo wadogo pia ni wachache wanaotolewa kwa ridhaa yao
 
Kumkumbuka ni sawa sababu vyovyote yeye wa kwanza,lakini kumpa akitaka au mkumbuke yazamani sio kweli kabisa,kwanza na wala humkumbuki 24/7 labda kwenye mazungumzo ya wasichana au umuone..kumpa itakua uzinzi wenu wote wawili lakini haijahusu bikra kabisa..
 
Mtoa bikra anaweza akumbukwe au asikumbukwe inategemea ilitolewa katika mazingira gani..kama ni kwa upendo na ali-enjoy then atamkumbuka...kama alibakwa hatamkumbuka na atalichukia tendo lenyewe...kama ni kwa upendo lakini haku-enjoy hatamkumbuka pia.

Heart ! Iliyokusudiwa hapa ni zile zivunjwazo kwa rizaa (Ridhaa) yake mmiliki utepe! Kumpa mvunjaji.
 
Jana nilikuwa na kontena la kubandua lebo.
Ikabidi ni-invest muda

Sasa kama kazi ni kubwa kiivo si utupigie pande na sie tuwe tunakubandulia kidog-kdogo ? Badala ujibandulie kimyakimya peke yako! Acha uchoyo wa Kipare!
 
Heart ! Iliyokusudiwa hapa ni zile zivunjwazo kwa rizaa (Ridhaa) yake mmiliki utepe! Kumpa mvunjaji.

Owk! Then kama ali-enjoy show aliyopewa atamkumbuka sana tu...ila kama aliitoa kwa ridhaa yake na haku-enjoy then jamaa atabakia kuwa wa kwanza kukata utepe lakini kummiss 'nehi'....
 
Kumkumbuka ni sawa sababu vyovyote yeye wa kwanza,lakini kumpa akitaka au mkumbuke yazamani sio kweli kabisa,kwanza na wala humkumbuki 24/7 labda kwenye mazungumzo ya wasichana au umuone..kumpa itakua uzinzi wenu wote wawili lakini haijahusu bikra kabisa..

Falcon uyasemayo mdomoni yanaendana na uhalisia wako ? Na ningebahatika kukuona surani sura yako ingeonesha haina mzaha na uyasemayo ?
 
Hili ni suala la kiimani zaidi! Ni kwel huenda yeye alietolewa asikusahau endapo tendo hlo lilitendeka ktk ridhaa ya kutazamia kuoana yan kuwa wana ndoa. Kumbuken kuna maagano ya damu, agano la aina hi zaid ni la kiiman, shetan huhtaj damu il kufanya agano, na ndio mana twaweza shuhudia ajal nyng sizoelezeka, yale ni maagano wakat mwngne shetan hufanya na wanadam (matajir) kwa lengo la kutaka mali. Pindi binti anapovunjwa bikra hua kuna damu inatoka, damu ile ktk ulimwengu wa roho tayar ni agano! Ndo mana ni dhambi na hairuhusiwi kufanya tendo hlo nje ya Agano kamili (ndoa). Vijana weng kwa kujua au kutokujua wamekua wakizuia baraka zao km vile kukosa aman ktk ndoa na kukosa watoto pind waingiapo ktk ndoa, kisa utakuta kumbe alfanya agan la damu na binti fulan na akamwacha, endapo binti huyo alieachwa ataendelea kusononeka na kuumia, anao uwezo wa kutamka laana yoyote juu ya ndoa yako na ikakupata kwan mamlaka anayo juu ya uhai na baraka zako. Vijana jizuieni kufanya haya ili kunusuru maisha yenu ya badae ya ndoa! Na wale ambao wapo kwny ndoa na wanaona hakuna baraka ktk ndoa zao, wamekosa watoto, hawaelewan ndan ya ndoa zao, ni vema wakakaa na kutafakar wap walfanya maagano ya damu, na watafute njia ya kuvunja maagano hayo, aidha waonen viongoz wa kiroho kwa ushaur zaid. Achen uzinzi!
 
Back
Top Bottom