kuhonga ni.....

kuhonga ni kutoa rushwa ya ngono,pesa or anything ili upate kitu ulichodhamilia kukipata
 
aah uko juu..! sasa ni nini nia halisi ya kuhonga kama sio kutegemea service flani..?

si kila anayehonga anataka service, unaweza ukahonga kwa mapenzi tu yaani unahs tu umpe mpz kitu fulani, au kuonyesha kujali nk. Ukiona mtu anahönga ili apate service kimbia. Hao ndo wanaodai kwa mavuvuzela. Hawafai
 
hahhhhahhaha bishanga usiseme kuna watu wanakipajo cha kuhonga, anahonga hadi nauli

aaaahaaa kwenye nauli hua mimi nadhani sio hongo bwana ule ni msaada tu..! ha sasa nauli unaanzia wapi..! na hivi mwanaume anatakiwa kuonyesha kua ametoa kitu au anatakiwa kwa kila hali apotezee..? na vipi kama demu anakua kama anapozi la kutaka kurudisha..?
 
mwingine akishakupata kuhonga kunaisha. Kwikwikwi

wakati unafukuzia si lazima ulipwe ile huwa 'nahonga kwa ajili ya point na si kukamua'hii husaidia kuwashinda kompetitaz wengine

ila baada ya makubaliano unahonga kuweka munkari kwenye penzi
 
mwingine akishakupata kuhonga kunaisha. Kwikwikwi

sio kuhonga paleee..! pale ni kukupa zawadi buwana sio kukuhonga tena kama ni kukuhonga alishakuhonga siku nyingi saaana auuuu>!!!!!!!!!!!!!!!?????
 
Wewe unahonga wapi wakati mangi pale dukani anakudai kilo moja ya unga ulioenda kukopa juzi..

arrrrrrrooooo ntake razi,au unataka nikumalize? si unajua Husninyo ni underage na adhabu under sexual offences act kuna kula mvua salasini?
 
hivi umesha wahi kujiuliza kua utajisikiaje pale unapohonga demu halafu kumbe na yeye anakidume kinacho pewa hela na mapochopocho unayo mpa demu..! halafu mzee umefanya hivyo for about four years na unakuja kugundua...! daaaaah

mambo ya kawaida tu mbona haya?
 
QUOTE=The Finest;2937507]Akija hapa awe anajua kuhonga sio anaishia kuhonga chips mayai na mountain dew[/QUOTE]
Najua kuhonga fanta na chips ngumu yaani mihogo
Halafu nikihonga sana ni nauli ya daladala na asubuhi yake nampa chai ya rangi na mkate
n
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom