Kuhonga mwanamke chanzo cha umasikini kwa mwanaume

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu salaam,

Katika maisha yetu wanaume hakuna dhambi mbaya sana kama kuhonga hela zako mwanamke ni vile tuu hatujui au tunakaza mafuvu kutokana na kutumia akili za genye

Kuhonga kunafanya mwanaume anakua fukara na mwenye mikosi mingi katika maisha yake. Hela unayo muhonga /kumpa mwanamke wako huyo ambaye hujamuoa kwa kufikiri unamsaidia fahamu kabisa inalipa kisasi katika uchumi wako na hakika utakufa masikini taka usitake.

Hakuna anaye honga akawa salama, hakuna anayetoa hela hovyo kwa wanawake akawa salama, ukikuta kijana anatoa hela fatilia uchumi wake ni mbovu mno, fatilia maisha yake hana cha maana alichofanya na yote haya ni kutokana na mikosi anayoipata huko pindi anapo honga hela kwa wanawake.

Mwanaume anajibana hataki kujitunza kutwa kucha anashinda na njaa kisa tuu kuweka vihela vya kumpa baby wake, kijana anaishi kwa tabu sana, hana maendeleo, hasaidii wazazi wake anabaki kuhonga tuu hovyo huo ni ujinga wa hali ya juu.

Hebu amkeni achaneni na suala la kuhonga au kuhudumia mwanamke ambaye hujamuoa badala yake tumia hela zako unazo pata kwa tabu kujenga uchumi wako, kujipa furaha na kula vizuri. Ewe kijana ukiona hela bado zipo wape wazazi wako, unapo mpa mzazi hela akauambia asante ubarikiwe mwanangu ni thababu zaidi ya neno asante kutoka kwa huyo baby wako anae kuchuna na kukukausha damu.

Vijana fungukeni kuhonga ni dhambi na utakufa masikini, utakufa na maradhi, utakufa bila kuacha historia ya maana ndugu yangu na mwishowe utaenda kuchomwa moto taka usitake.

Kama mpenzi wako anataka umuhudumie mwambie asubiri umuoe au aje ukae nae azae na watoto ndipo umpe hela yako.

NB: HELA TUNAZAO HONGA WANAWAKE, WAO WANAZITUMIA KUWAPA MA BABY BOY WAO WAONGEZEE MITAJI HUKU WEWE UKIBAKI NA TABU ZAKO.

KATAA KUHONGA, MTU HALALI WA KULA HELA YAKO NI ;-

1: WAZAZI WAKO
2: WATOTO WAKO
3: MKE WAKO

FB_IMG_1698733434156.jpg
 
Ndugu zangu salaam

Katika maisha yetu wanaume hakuna dhambi mbaya sana kama kuhonga hela zako mwanamke ni vile tuu hatujui au tunakaza mafuvu kutokana na kutumia akili za genye

Kuhonga kunafanya mwanaume anakua fukara na mwenye mikosi mingi katika maisha yake. Hela unayo muhonga /kumpa mwanamke wako huyo ambaye hujamuoa kwa kufikiri unamsaidia fahamu kabisa inalipa kisasi katika uchumi wako na hakika utakufa masikini taka usitake.

Hakuna anaye honga akawa salama , hakuna anayetoa hela hovyo kwa wanawake akawa salama , ukikuta kijana anatoa hela fatilia uchumi wake ni mbovu mno , fatilia maisha yake hana cha maana alichofanya na yote haya ni kutokana na mikosi anayoipata huko pindi anapo honga hela kwa wanawake .

Mwanaume anajibana hataki kujitunza kutwa kucha anashinda na njaa kisa tuu kuweka vihela vya kumpa baby wake , kijana anaishi kwa tabu sana , hana maendeleo , hasaidii wazazi wake anabaki kuhonga tuu hovyo huo ni ujinga wa hali ya juu.

Hebu amkeni achaneni na swala la kuhonga au kuhudumia mwanamke ambaye hujamuoa badala yake tumia hela zako unazo pata kwa tabu kujenga uchumi wako, kujipa furaha na kula vizuri . Ewe kijana ukiona hela bado zipo wape wazazi wako, unapo mpa mzazi hela akauambia asante ubarikiwe mwanangu ni thababu zaidi ya neno asante kutoka kwa huyo baby wako anae kuchuna na kukukausha damu.

Vijana fungukeni kuhonga ni dhambi na utakufa masikini , utakufa na maradhi , utakufa bila kuacha historia ya maana ndugu yangu .. na mwishowe utaenda kuchomwa moto taka usitake

Kama mpenzi wako anataka umuhudumie mwambie asubiri umuoe au aje ukae nae azae na watoto ndipo umpe hela yako.

Nb. HELA TUNAZAO HONGA WANAWAKE , WAO WANAZITUMIA KUWAPA MA BABY BOY WAO WAONGEZEE MITAJI HUKU WEWE UKIBAKI NA TABU ZAKO.

KATAA KUHONGA, MTU HALALI WA KULA HELA YAKO NI ;-

1: WAZAZI WAKO
2:WATOTO WAKO
3: MKE WAKO

View attachment 2798758
unapata 1000 unahonga 700 unakula 300

UNAHONGA PAKUBWA, UNAKULA PADOGO

Watoto nyumbani wanashindia viazi vitamu, kwa hawara ni CHIPSI YAI
 
Ndugu zangu salaam,

Katika maisha yetu wanaume hakuna dhambi mbaya sana kama kuhonga hela zako mwanamke ni vile tuu hatujui au tunakaza mafuvu kutokana na kutumia akili za genye

Kuhonga kunafanya mwanaume anakua fukara na mwenye mikosi mingi katika maisha yake. Hela unayo muhonga /kumpa mwanamke wako huyo ambaye hujamuoa kwa kufikiri unamsaidia fahamu kabisa inalipa kisasi katika uchumi wako na hakika utakufa masikini taka usitake.

Hakuna anaye honga akawa salama, hakuna anayetoa hela hovyo kwa wanawake akawa salama, ukikuta kijana anatoa hela fatilia uchumi wake ni mbovu mno, fatilia maisha yake hana cha maana alichofanya na yote haya ni kutokana na mikosi anayoipata huko pindi anapo honga hela kwa wanawake.

Mwanaume anajibana hataki kujitunza kutwa kucha anashinda na njaa kisa tuu kuweka vihela vya kumpa baby wake, kijana anaishi kwa tabu sana, hana maendeleo, hasaidii wazazi wake anabaki kuhonga tuu hovyo huo ni ujinga wa hali ya juu.

Hebu amkeni achaneni na suala la kuhonga au kuhudumia mwanamke ambaye hujamuoa badala yake tumia hela zako unazo pata kwa tabu kujenga uchumi wako, kujipa furaha na kula vizuri. Ewe kijana ukiona hela bado zipo wape wazazi wako, unapo mpa mzazi hela akauambia asante ubarikiwe mwanangu ni thababu zaidi ya neno asante kutoka kwa huyo baby wako anae kuchuna na kukukausha damu.

Vijana fungukeni kuhonga ni dhambi na utakufa masikini, utakufa na maradhi, utakufa bila kuacha historia ya maana ndugu yangu na mwishowe utaenda kuchomwa moto taka usitake.

Kama mpenzi wako anataka umuhudumie mwambie asubiri umuoe au aje ukae nae azae na watoto ndipo umpe hela yako.

NB: HELA TUNAZAO HONGA WANAWAKE, WAO WANAZITUMIA KUWAPA MA BABY BOY WAO WAONGEZEE MITAJI HUKU WEWE UKIBAKI NA TABU ZAKO.

KATAA KUHONGA, MTU HALALI WA KULA HELA YAKO NI ;-

1: WAZAZI WAKO
2: WATOTO WAKO
3: MKE WAKO

View attachment 2798758
Hiyo picha yangu ya 1999 umeitoa wapi kijana?niko na nguo ya ndani unanianika

Hivi ni kweli wote wanaohonga ni choka mbaya?fukara?
Kuhonga ni upendo tu/wanatoa kuonyesha kujali kutokana na hisia zao wahongaji (mawazo yangu tu)

Ila usishindwe kufanya hata kidogo 👇
 
Attachments

  • 202331LA 04-28-1.jpg
    202331LA 04-28-1.jpg
    81.3 KB · Views: 10
Hiyo picha yangu ya 1999 umeitoa wapi kijana?niko na nguo ya ndani unanianika

Hivi ni kweli wote wanaohonga ni choka mbaya?fukara?
Kuhonga ni upendo tu/wanatoa kuonyesha kujali kutokana na hisia zao wahongaji (mawazo yangu tu)

Ila usishindwe kufanya hata kidogo
Kuhonga siyo upendo.. acha kuthaminisha upendo na vipande vya fedha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom