MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 241
- 546
Nawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti mzuri sana wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede. Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna.
Wanaume Tafuteni hela jamani