Je ni kitu gani uliwahi kuhonga(kwa wanaume) au kuhongwa (kwa wanawake) ukiwa na miaka chini ya 25?

Mlimani health center

JF-Expert Member
Nov 25, 2021
595
1,416
Habari wanajamvi

Swali langu la leo katika tafakuri,

Je ni kitu gani uliwahi kuhonga(kwa wanaume) au kuhongwa (kwa wanawake) ukiwa na miaka chini ya 25?

Burudika weekend na hicho kibonzo juu hapo

Uzi tayari
 
Back
Top Bottom